Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Pedi ya 4000 ndio unabwatuka kama unanunua gari!? We tafuta pesa sana aisee 😅Ebo! Hadi ped nikununulie halafu bado unadai 50/50 akili dumavu hizi.
Pedi ya 4000 ndio unabwatuka kama unanunua gari!? We tafuta pesa sana aisee 😅Ebo! Hadi ped nikununulie halafu bado unadai 50/50 akili dumavu hizi.
Mbona kuna wanawake wengi tu wameolewa na wanaume masikini makapuku?!Wanawake wanaposikia hili swali akili zao huwaza fedha pekee. Maana fedha ndo kitu kepee kinawafanya wawe kwenye mahusiano.
Bongo watoto huwa wanahesabika ni WA mwanaume ndio maana huwa kuna misemo mwanamke "amemzalia" watoto.Kupika na kufua ndo kusacrifice Ndoto zako?
Unavyosema hao watoto utadhani n watoto wa mwanaume pekee, kumbe n wako pia 😂
Wanawake bhana 😂
Tunataka hy 50/50 iwepo Pia kwenye mambo ya majukumu ya kifedhaKwani wanaume mnataka nini exactly? Hebu wekeni wazi, bila madharau wala kejeli au kisingizio cha 50/50! Hebu semeni mnatakaje exactly! Na mnatumia njia ipi kuwekana sawa kwenye hili jambo na wenza wenu?
Nitakulamba makofi wewe, kama ni buku 4 tu kwa nini asitafute ashinde amebwaga makalio tu kwenye sofa zangu!Pedi ya 4000 ndio unabwatuka kama unanunua gari!? We tafuta pesa sana aisee
Hii ni ngumu kakaake!Tunataka hy 50/50 iwepo Pia kwenye mambo ya majukumu ya kifedha
Hebu msikie huyu mayaya! Yani sofa ni kitu cha kubrag🫴🏾Nitakulamba makofi wewe, kama ni buku 4 tu kwa nini asitafute ashinde amebwaga makalio tu kwenye sofa zangu!
Hata wakati wa talaka Mwanamke weak hutaka 50/50 ya alicho chuma mwanaume wagawe sawaHakuna mwanaume kamili anayeuliza hilo swali!
Ni weak, broke or pathetic men tu ndio hua na maswali hayo!
Nikikunyaka sura yako itapendeza zaidi bora umwagie kemikali itakuwa nafuu kwako.Hebu msikie huyu mayaya! Yani sofa ni kitu cha kubrag
Still have a long way to go
💃🏽 💃🏽Nikikunyaka sura yako itapendeza zaidi bora umwagie kemikali itakuwa nafuu kwako.
Ndo tunakuja hapo, mna lipi la kuweka mezani, Ndo tunakuja na jibu kuwa tofauti na pussy, mwanamke hana lingine la maanaHii ni ngumu kakaake!
Naunga mkia hoja.Ndo tunakuja hapo, mna lipi la kuweka mezani, Ndo tunakuja na jibu kuwa tofauti na pussy, mwanamke hana lingine la maana
Hebu twende taratibu kwanza,Ndo tunakuja hapo, mna lipi la kuweka mezani, Ndo tunakuja na jibu kuwa tofauti na pussy, mwanamke hana lingine la maana
Hatuwezi kuandikiana daily routine zetu Kwa sababu mm navyoishi n tofauti na ww.Hebu twende taratibu kwanza,
Andika daily routine yako na mimi niandike yangu tuone tunafanyeje mwishoni!
Sawa, umeeleweka!Hatuwezi kuandikiana daily routine zetu Kwa sababu mm navyoishi n tofauti na ww.
Hy 50/50 mnadai Mkiwa kwenye mahusiano, hvy unachotaka khs routine zetu hapa hakitofanya kazi.
Mm n mwanaume, 100% za pesa zangu n kwa jasho langu mwnyw tofauti na ww mwanamke kuna favor utakuwa unapewa Hata Kwa ambaye sio mpenzi wako.