Hivi ni sahihi kwa mwanaume anayejiamini kumuuliza mwanamke, what will you bring to the table?

Hivi ni sahihi kwa mwanaume anayejiamini kumuuliza mwanamke, what will you bring to the table?

Hakuna mwanaume kamili anayeuliza hilo swali!

Ni weak, broke or pathetic men tu ndio hua na maswali hayo!
Relationship ni business na bussiness is relationship.
So, yeah wtf do you bring to the table or bed?
Is she freaky enough to get you off? What does she do?
Can she pray after that? Clean, financially advise me? etc etc
 
Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.

Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.

Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.

Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Huna akili. Kuzaa kwani umebakwa? Uvivu tu na akili ndogo. Ndio maana Africa hatuendelei sababu ya ujinga huu.
 
50/50 ni utoto
It can't exist by nature since creation of Man and Woman (Adam and Eve)
Father is the head of family and mother is assistant.
 
Back
Top Bottom