PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
Umejipa time frame ya kuwa mzigo?Mwenyewe hapa najiandaa nikawe kamzigo mahali fulani🤭
Umejipa time frame ya kuwa mzigo?Mwenyewe hapa najiandaa nikawe kamzigo mahali fulani🤭
Sasa kama mnatuterm hivyo hamuoni mnatutengenezea urahisi wa kuwa hivyo! Mtu anaamini mwanamke hawezi bila yeye😅Umejipa time frame ya kuwa mzigo?
Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Lazima nikuulize"mbali na majukum ya nyumbani ,una ujuzi Gani mwingine ambao tunaweza kuuendeleza tukafanya kitu" ukiniambia Sina naanza kukuona Kuna mishipa ya ubongo haikutimia!!Mwenyewe hapa najiandaa nikawe kamzigo mahali fulani🤭
🤣🤣 we mtu akikuita ombaomba unakubali?Sasa kama mnatuterm hivyo hamuoni mnatutengenezea urahisi wa kuwa hivyo! Mtu anaamini mwanamke hawezi bila yeye😅
Ila wanawake mna roho ngumu sana linapokuja suala la pesa. Mnaitwa majina ya hovyo hovyo lakini hamtaki kujitegemea🤣🤣🤣Sasa kama mnatuterm hivyo hamuoni mnatutengenezea urahisi wa kuwa hivyo! Mtu anaamini mwanamke hawezi bila yeye😅
Nina ujuzi mwingi sana! Kukaa kuw amzigo ni maamuzi tu! Ila hiyo mindet ya kimasikini sijui nifundishe watoto kuuza nyanya hapana aisee! Mwenyew sikufundisha hivyo! Kwanini utarget maisha magumu mpaka kwa wanao?Lazima nikuulize"mbali na majukum ya nyumbani ,una ujuzi Gani mwingine ambao tunaweza kuuendeleza tukafanya kitu" ukiniambia Sina naanza kukuona Kuna mishipa ya ubongo haikutimia!!
Mama ndio mlezi was familia lazima awafundishe watoto ujuzi hata wa iuuza nyanya gengeni!!
Kutambaliza miguu ukisubiri Hela ya chumvi unawaandaa hata watoto wangu kuwa wazembe hasa wa kike!!
Tujitegemee ili tugundue nini kwanza😂 kwani hayo majina yanachuna ngozi🌝Ila wanawake mna roho ngumu sana linapokuja suala la pesa. Mnaitwa majina ya hovyo hovyo lakini hamtaki kujitegemea🤣🤣🤣
Binadamu tofauti na wanyama wengine kama Simba, panya au swala anazaa na anakuwa na watoto wanaochelewa sana kujitegemea kwa hiyo kulea kwa binadamu sio suala dogo kama mnavyojaribu kulidogosha, ni serious business.Kuzaa hata panya anazaa.
Kuzaa tu sio kigezo cha kutaka kuhudumiwa kila kitu.
Afadhali basi uhudumie kila kitu kwa mke ambaye ni mtulivu hachepuki. Anatulia tu na watoto kulea.
Kuna hawa viruka njia, kichwani ni empty, ni wauza nyapu 24/7 , they have nothing to bring to the table. Halafu ndio vinara wa kutaka haki sawa.
Kama anakidhi mahitaji yangu! Ila tuef20 sijui 50 uniite ombaomba aisee🫢🤣🤣 we mtu akikuita ombaomba unakubali?
Kuuza nyanya sio umaskini comrade!ni mind set tu!!Nina ujuzi mwingi sana! Kukaa kuw amzigo ni maamuzi tu! Ila hiyo mindet ya kimasikini sijui nifundishe watoto kuuza nyanya hapana aisee! Mwenyew sikufundisha hivyo! Kwanini utarget maisha magumu mpaka kwa wanao?
Wafundishe ku dream big utaona matokeo mazuri mbeleni
Ukiwa na mwanamke mwenye uwezo wa kifedha au anayeweza kukuhudumia utamvumilia akichepuka?Kuzaa hata panya anazaa.
Kuzaa tu sio kigezo cha kutaka kuhudumiwa kila kitu.
Afadhali basi uhudumie kila kitu kwa mke ambaye ni mtulivu hachepuki. Anatulia tu na watoto kulea.
Kuna hawa viruka njia, kichwani ni empty, ni wauza nyapu 24/7 , they have nothing to bring to the table. Halafu ndio vinara wa kutaka haki sawa.
Uko sahihi! Kwa upande wangu ni heri nimfundishe kulima hizo nyanya!Kuuza nyanya sio umaskini comrade!ni mind set tu!!
Au Bado mna zile za usomi ndio utajiri!!?
Vuta picha una bonge la friji la kisasa umejaza natural food products straight from farm!unauza reja reja na jumla!!
Lakini ningekua nauza nyanya za kwenye makopo kwenye supermarket fulani.hivi ningeonekana wa ki shua kweli kweli kuliko.za.mafungu!
Mind set!
Hawaeleweki, ukiwa masikini kosa, ukomzidi pesa kosa, ukopata degree kosa, ukioshia la 7 kosa!Ukiwa na mwanamke mwenye uwezo wa kifedha au anayeweza kukuhudumia utamvumilia akichepuka?
BullshitHivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Msijilinganishe na Me, hustles za Me sio za mchezo. Wenzetu wanashindwa na kuamua "ku-left group" unadhani wanapenda!!Mbona mnatuonea wivu we mzee😆
Lakini si malezi wanahusika wazazi wote mpaka mtoto anajitegemeaBinadamu tofauti na wanyama wengine kama Simba, panya au swala anazaa na anakuwa na watoto wanaochelewa sana kujitegemea kwa hiyo kulea kwa binadamu sio suala dogo kama mnavyojaribu kulidogosha, ni serious business.
Mwanamke huwa anakuwa akilea mtoto nyumbani na hospitalini muda mwingi zaidi kuliko mwanaume.Lakini si malezi wanahusika wazazi wote mpaka mtoto anajitegemea
Mbona wao wanaforce tulingane sasa? Kila mtu ashike majukumu yake! Ikishindikana kuleft group ni ruksa! Au unasemaje babu🙂Msijilinganishe na Me, hustles za Me sio za mchezo. Wenzetu wanashindwa na kuamua "ku-left group" unadhani wanapenda!!
Sina hasira!Umeandika kwa uchungu sana, hebu keti kwanza hapa🪑, take a deep breathe 😮💨
Kwamba?? Wasiwavuruge mawhatt??😅