Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
Sahv wanahamasishana kukataa ndoaItakuwa vijana wengi waliojiunga JF hivi karibuni wako katika harakati za kuoa.
Sahv wanahamasishana kukataa ndoaItakuwa vijana wengi waliojiunga JF hivi karibuni wako katika harakati za kuoa.
Ushakula zako daku sasa😆Sahv wanahamasishana kukataa ndoa
Hebu Kwede taja vitu vitano tu unavyoleta mezani bila kupepesa macho.Whoever come up with this question was not only narcissist but also a misogynist
They will ask what u bring to the table the next thing ur the one sacrificing Ur dreams to cook and clean for them
Spending 9 months feeling like a stuffed sausage to birth their child
Then spend the rest of ur life taking care of them and their offspring while they live their best life and fullfill their dreams
Until they get tired of u and leave u for younger woman to repeat the same cycle with her
Nimeshiba kama nimelishwa vile.Ushakula zako daku sasa😆
Maisha ni magumu wakuu, sababu kubwa ni hii.Hizi mada za hivi zimekua nyingi.
Usipindishe maneno babu, kifupi tuwaite hao wanaume wanafikiNdio maana si ajabu kuona baadhi ya wanaume kuonekana kupinga mada kama hizi na kuwasapoti wanawake kwasababu hawataki kuvuruga urafiki wao walioujenga.
Kulea mimba na kupika sio majibu ya muktadha wa swali.Whoever come up with this question was not only narcissist but also a misogynist
They will ask what u bring to the table the next thing ur the one sacrificing Ur dreams to cook and clean for them
Spending 9 months feeling like a stuffed sausage to birth their child
Then spend the rest of ur life taking care of them and their offspring while they live their best life and fullfill their dreams
Until they get tired of u and leave u for younger woman to repeat the same cycle with her
Ameshaandika hapo labla hujasoma comment yakeHebu Kwede taja vitu vitano tu unavyoleta mezani bila kupepesa macho.
For argument's sake.
Hebu na wewe usiende kazini Baki na watoto ndani kuanzia asubuh had jionKupika na kufua ndo kusacrifice Ndoto zako?
Unavyosema hao watoto utadhani n watoto wa mwanaume pekee, kumbe n wako pia 😂
Wanawake bhana 😂
Hebu Baki usiende kazini uoshe vyombo nakufuaKupika na kufua ndo kusacrifice Ndoto zako?
Unavyosema hao watoto utadhani n watoto wa mwanaume pekee, kumbe n wako pia 😂
Wanawake bhana 😂
Kwenda kazini n jukumu la mwanaume, kukaa na hao watoto n jukumu lako ww mwanamke.Hebu na wewe usiende kazini Baki na watoto ndani kuanzia asubuh had jion
Ila hy ya kupika na kufua umeua Sana 😂Hebu Baki usiende kazini uoshe vyombo nakufua
Watoto ni WA wote ila wamebeba pia jina lako
Hii kitu humu JF mbona imekuwa trend sana.Usipindishe maneno babu, kifupi tuwaite hao wanaume wanafiki
Mbona unaongea vitu simple sana?Hebu Baki usiende kazini uoshe vyombo nakufua
Watoto ni WA wote ila wamebeba pia jina lako
Ivi ndoa inahitaj nin haswa ?Mbona unaongea vitu simple sana?
No wonder why watu wamekuwa wanazikimbia ndoa.
Kwasababu technology inapanuka kwa kasi na hayo majukumu yamekuwa easily fixed na automated machines ambazo mtu akiwa nazo anaweza asifikirie umuhimu wa mwanamke ikiwa kama umuhimu wa mwanamke ndio huu ambao unauelezea hapo.
Na mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke ameolewa na bado kawekewa msichana wa kazi na hizo shughuli hazifanyi yeye.
Lakini likija swala la talaka utasikia feminist wanakuja na hoja kama hizi: "Alikuwa anahudumia watoto," "kufagia, "kuosha vyombo".