Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hawawezi unamuachia mtoto lisaa tu anaanza kutoa milio!Uko tayari kulea familia yeye atafute?
Hawawezi unamuachia mtoto lisaa tu anaanza kutoa milio!Uko tayari kulea familia yeye atafute?
Let's do the math, what percentage of women today who are in a relationship, actually cook and clean for their boyfriends/ fiances.. probably less than 30% nakwede97the next thing ur the one sacrificing Ur dreams to cook and clean for them
Hiyo point yake ya kupika na kufua usiibeze, ni point kubwa sana, ila nikuulize wewe kwa kuangalia tu juu juu couple zilizokuzunguka kwenye pita pita zako, ni asilimia ngapi ya wadada wanawapikia na kusafisha mageto ya boyfriends wao Mbaga JrKupika na kufua ndo kusacrifice Ndoto zako?
Unavyosema hao watoto utadhani n watoto wa mwanaume pekee, kumbe n wako pia 😂
Wanawake bhana 😂
Hicho kibarua na watu wanalipwa na bachelor kukifanya eti! Sio kazi ndogo kufulia mtu mzima🤔Hiyo point yake ya kupika na kufua usiibeze, ni point kubwa sana, ila nikuulize wewe kwa kuangalia tu juu juu couple zilizokuzunguka kwenye pita pita zako, ni asilimia ngapi ya wadada wanawapikia na kusafisha mageto ya boyfriends wao Mbaga Jr
What’s so wrong with the 🐱?Hawana cha ziada ukitoa pussy
Hizi mada haziishagiKwani wanaume mnataka nini exactly? Hebu wekeni wazi, bila madharau wala kejeli au kisingizio cha 50/50! Hebu semeni mnatakaje exactly! Na mnatumia njia ipi kuwekana sawa kwenye hili jambo na wenza wenu?
Na hazitokaa ziishe😃Hizi mada haziishagi
Na hazitokaa ziishe😃
Huo ndio wajibu wetu. Mengine ni viherehere tuHawana cha ziada ukitoa pussy
Wanatafuta huruma ndio dalili za kuaga mashindano hizi😂Kuna id tushazoea zinaongeaga pumba daily hasa kwenye nyuzi za hivi
Hizi ni ndoa za zamani na anaendelea kuwa kwenye hiyo ndoa simply she's out of options kwa sasa. Maybe tayari ana watoto au umri umeenda.Mbona kuna wanawake wengi tu wameolewa na wanaume masikini makapuku?!
Fact,Hatuwezi kuandikiana daily routine zetu Kwa sababu mm navyoishi n tofauti na ww.
Hy 50/50 mnadai Mkiwa kwenye mahusiano, hvy unachotaka khs routine zetu hapa hakitofanya kazi.
Mm n mwanaume, 100% za pesa zangu n kwa jasho langu mwnyw tofauti na ww mwanamke kuna favor utakuwa unapewa Hata Kwa ambaye sio mpenzi wako.
Mbona mnatuonea wivu we mzee😆Fact,
Wanawake wengi sana wanaishi kwa favors, tena hawa ambao bado kuolewa ndio kabisa yani.
Ni rahisi kwa Ke kutuma sms ya kuomba 10k kwa mwanaume au hata rafiki yake wa kike kuliko Me kutuma same sms kwa mshkaji wake au rafiki wa kiume.
Ni rahisi pia kwa Ke kupokea 10k anapoomba kuliko wewe kupewa.
Usipindishe maneno Muhasibu deep down wanaunga mkono hoja ya vijana ila kwa sababu ya interest uchwara wanapinga ili wasiwavuruge mahawara wao.Usipindishe maneno babu, kifupi tuwaite hao wanaume wanafiki
Increase your voice pliiz 🔥🔥🔥🔥Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Umeandika kwa uchungu sana, hebu keti kwanza hapa🪑, take a deep breathe 😮💨Usipindishe maneno Muhasibu deep down wanaunga mkono hoja ya vijana ila kwa sababu ya interest uchwara wanapinga ili wasiwavuruge mahawara wao.
Mwenyewe hapa najiandaa nikawe kamzigo mahali fulani🤭Dhana ya nitakaa nyumbani ninunuliwe Kila kitu na mwanamme no dhana mbovu isiyo na maana!!
Mwanamke ni msaidizi wa majukumu ya Kila siku na sio mzigo was kila siku!!
Siku hizi wanawake wamejiandaa kuwa mizigo na sio wasaidizi!!
Huwa nawaambia vijana NI AIBU ILIYOJE KUZAA MTOTO OMBA OMBA YAANI KAJIANDAA KUOMBA MAISHA YAKE YOTE KISA KAZALIWA MWANAMKE,NI AIBU COZ SIO TAFSIRI HALISI YA KIUMBE HAI KWANI TULIUMBWA ILI TUTAWALE NA KUMILIKI VYOTE DUNIANI NA SIO KUOMBA OMBA!