Hakuna bwana makalaoHivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Hakuna mwanaume kamili anayeuliza hilo swali!Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Maajabu hayo sasa. Mke mwenye kipato atakuwa anaofa nini mbali na pussy?Sasa ikitokea mmeachana si mnagawana nusu ya nusu?
Sasa iweje kwenye kutafuta iwe ratio tofauti?
Madam sisi sio wazungu, ni wamatumbi tu😪Whoever come up with this question was not only narcissist but also a misogynist
They will ask what u bring to the table the next thing ur the one sacrificing Ur dreams to cook and clean for them
Spending 9 months feeling like a stuffed sausage to birth their child
Then spend the rest of ur life taking care of them and their offspring while they live their best life and fullfill their dreams
Until they get tired of u and leave u for younger woman to repeat the same cycle with her
Hili neno la nin mwanamke analeta mezani aisee wanakosea sana Tena sanaMadam sisi sio wazungu, ni wamatumbi tu😪
Hapo inaonekana kila mtu anatoa uzoefu wake kulingana na hali aliyo pitia🤔Hili neno la nin mwanamke analeta mezani aisee wanakosea sana Tena sana
Waswahili ni wajinga au wazito kuelewa. Hakuna kitu kama 50/50, sio lazima mwanamke au mwenza achangie pesa katika familia, anaweza kuchangia akili/mawazo ya maendeleo, usimamizi wa vitega uchumi vya familia, connections, akili za watoto n.k Shida ni kama hakuna hata kimoja kati ya hivi anachoweza kuchangia, yani hachangii kipato, hana akili, hana connections, hawezi kusimamia biashara au mradi wowote wa familiaHivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Itakuwa vijana wengi waliojiunga JF hivi karibuni wako katika harakati za kuoa.Hizi mada za hivi zimekua nyingi.
Wanawake wanaposikia hili swali akili zao huwaza fedha pekee. Maana fedha ndo kitu kepee kinawafanya wawe kwenye mahusiano.Waswahili ni wajinga au wazito kuelewa. Hakuna kitu kama 50/50, sio lazima mwanamke au mwenza achangie pesa katika familia, anaweza kuchangia akili/mawazo ya maendeleo, usimamizi wa vitega uchumi vya familia, connections, akili za watoto n.k Shida ni kama hakuna hata kimoja kati ya hivi anachoweza kuchangia. Yani hachangii kipato, hana akili, hana connections, hawezi kusimamia biashara au mradi wowote wa familia
Kupika na kufua ndo kusacrifice Ndoto zako?Whoever come up with this question was not only narcissist but also a misogynist