Relationship ni business na bussiness is relationship.Hakuna mwanaume kamili anayeuliza hilo swali!
Ni weak, broke or pathetic men tu ndio hua na maswali hayo!
Nnacho hata!!!!!! Unacholeta Bilionea wangu chatoshaJibu swali, utaleta nini kwa meza...
Unacho mbona cha kuleta kwa meza, tena nakipenda haswa...Nnacho hata!!!!!! Unacholeta Bilionea wangu chatosha
Sante ♥️Unacho mbona cha kuleta kwa meza, tena nakipenda haswa...
When pigs flyUkitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Huna akili. Kuzaa kwani umebakwa? Uvivu tu na akili ndogo. Ndio maana Africa hatuendelei sababu ya ujinga huu.Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
YaniHizi mada za hivi zimekua nyingi.