Siyo kufukuza tu! Alitakiwa afungwe angalau mwaka. Haiwezekani walimu wetu wafundishe mpaka la nne halafu mtoto zeeee!Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule. Ya serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na kuambiwa kuwa mtoto hajui kusoma wala kuandika hivyo arudi akasomee nyumbani. Mzazi akarudishiwa makaratasi yote ya uhamisho na sasa mtoto yupo nyumbani. Je ni sahihi?
Na ninyi mfanyiwe uchunguzi ikionekana kuna mzazi kamrisisha huo undenzi, na yeye jela miezi 5.
Mnasumbua walimu wetu kwani wana mambo mengi yaani mwalimu huyohuyo afukuzane na mikopo kausha damu mara katibu wa CCM kitongoji. Na wewe unaanza kumlaum, duuu!!!
Na nahisi tatizo lipo kwako utaitwaje Bushmamy mtoto si lazima Bushbabyx2