Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

Hako ni kamchezo kanako changamsha akili na mwili, ushauri huyo jamaa kama anasumbua jamii mgongeeni mlango na kumkataza ama tumieni mbinu mbadala inayofaa kwa mazingira husika

Swali fikirishi kwanini wanawake eti pia huwa wanalia lakini hawatoi machozi
 


Yaani nilikuwa nasinzia ila baada ya kusoma hii comment na kuanza kucheka usingizi wote umekata.

Nimecheka kama tumbili anayekula mahindi shambani 😁😁😁😁😁😁😁
Nyani Ngabu

Siku yako ya hanemuni upige ukelele baada ya kushusha mzigo wa kisukuma 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Pole Sanaa mkuu😂😂😂
 
Mhusika yupo Jiji gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…