ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #221
Hakijaharibika kituMajukumu tuu mkuu, nilitamani sana ningeikuta Bado ya moto kabisa japo Bado haijapoa.
Shukrani sana mkuu, barikiwa.
Asante kwa maoni
Hakijaharibika kituMajukumu tuu mkuu, nilitamani sana ningeikuta Bado ya moto kabisa japo Bado haijapoa.
Shukrani sana mkuu, barikiwa.
Mimi nafikiri hata makanisani ilifaa hii elimu iwafikie.Hii comment yako nilichelewa kuiona
Kwanza ni kuweke sawa mkuu
Ukisoma mada yangu hakuna mahali nimeandika watoto wasisaidie wazazi la hasha usinilishe maneno
Nimesema sio sahihi mzazi kuzaa watoto weengi ambao hana uwezo wa kuwatengenezea msingi mzuri wa maisha kwa matarajio asaidiwe baadae
Huo ni ujinga yaani uzae kwa kutegemea kusaidiwa halafu hapo hapo hujatengeneza future ya watoto ?
Mzazi na azae watoto anao wa mudu awalelee vizuri awapatie elimu bora na hii ni wajibu wake sio fadhila kwa sababu ukumbuke mtoto hajakuomba umzae kwa hiyo ni wajibu wako kumtimizia mahitaji
Na pia sio sawa kutaka kulipwa fadhila huko baadae kama kweli umewapa watoto elimu umewapa mahitaji yote ya msingi wanaachaje kukusaidia ?
Mkuu kama hutojari naomba uwe unanitag ukipost Uzi wako.Hakijaharibika kitu
Asante kwa maoni
Anazaa kama mradiMimi nafikiri hata makanisani ilifaa hii elimu iwafikie.
Binafsi nikisomaga hata biblia huwa naona Mungu anapinga vitu vingi sana ambavyo sisi binadamu tumeshavifanya ni kawaida alafu tunamtwisha Mungu hiyo mizigo yetu.
Mfano wakati Mungu anaumba Dunia ilifikia hatua kila kitu kilikua kipo tayari lakini Mungu hakuinyeshea Dunia mvua kwasababu hakukua na mtu wa kuilima ardhi Mwanzo 2:5 . Hapo Mungu aliangalia mbali sana akaona akinyeshea mvua ardhi matunda yatazaa na mimea itanawiri lakini pia magugu yataota hivyo Adamu angekuta mzigo wa kufyeka mapori😂😂😂
Sasa nashindwa kuelewa binadamu anajua kabisa yeye mwenyewe hawezi kujimudu lakini anazaa na mtoto. Sijui hizo akili huwa wanazitoa wapi???
Nikikumbuka nitafanya hivyoMkuu kama hutojari naomba uwe unanitag ukipost Uzi wako.
Hapana hata miradi ya shambani haipo hivyo.Anazaa kama mradi
Kama vile unavyolima shamba mwanzoni mwa msimu ukitarajia mwisho wa msimu mavuno
Kwa nini uzae mtoto kwa matarajio hayo ni ukatiri
Nilisahau umebobea kwenye maswala ya kilimo ndio maana umefafanua vyema kabisa hongera mkulima wa kishuaHapana hata miradi ya shambani haipo hivyo.
Hata ukilima, utahitaji mbegu Bora, palizi, madawa na mbolea. Sasa je? Mbona watoto hatuwawazi hivyo?
Huo ni zaidi ya ukatili.
Toa hiyo wakishua😂😂😂Nilisahau umebobea kwenye maswala ya kilimo ndio maana umefafanua vyema kabisa hongera mkulima wa kishua