Hivi ni Taasisi yetu tu au Taasisi zote za Umma pesa imekua ngumu kwa Wafanyakazi?

inasemekana kibaba kimeshaanza kukauka tena. poleni wafanyakazi wa umma
 
Hadimu❎
Adimu✅
Masaa za ziada❎
Masaa ya ziada✅
Sahivi❎
Sasa hivi/kwa Sasa✅
 
Kiongozi kwenda Century Cinemax , kupata kapizza na krussher ni matumizi makubwa?

Hapo kwenye kupanga matumizi/ budget Kwa kutegemea posho nimekuelewa sana. Usiipangie matumizi pesa ambayo Bado haujaikamata.
Matumizi makubwa yanategemea na kipato chako. Matumizi makubwa kwa mtu A ni matumizi ya kawaida au madogo kwa mtu B
Pamoja man. Kitaeleweka tu.
Kwahio mzee ile trip ya sgr iligonga mwamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…