Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,456
imefanyaje mkuummh hiyo ID yako!!
Ehee, embu tuambie kitu spesho unachokipata. Au ndio huko kuzibua?dah najua mwenyewe ninachokipata.
Yaani kumpikia mke na kuosha vyombo unajiona wewe ni mzungu na mwarabu?Najisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi. Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda zangu sokoni nanunua mahitaji ya home sasa hii imepelekea majirani kunikalia vikao kua nimelishwa limbwata na kuwa mume bwege. Hivi hii inakuwaje kwa jamii zetu za kiafrica?
Mbona wazungu au waarabu, wapemba wanafanya hivi? Kwangu binafsi na wivu balaa kwa wife inabidi nimsaidie tuu maana dah najua mwenyewe ninachokipata.
asa hii imepelekea kusemwa kuwa mimi ni mume bwege, hivi kuna ubwege kumsaidia wife vikazi kazi?
Ni kweli ila sio kwa hawa wanawake wetu wa kibongo, labda uoe binti aliekulia katika mazingira hayo ila hawa wa kuyakutia ukubwani sishauri.Ningebahatika kupata mume dizain yako walahi ningefarijika mnoo...kazi za nyumbani siyo jukum LA mke bali huwa tunafanya tuu kwa upendo tuloonao kwa waume zetu..LA msingi ni kusaidiana na kila mmoja ajue thamani ya mwenzake
Kuna kazi ambazo unawaza kumsaidia mke kama kwenda sokoni,, Kupika kufua ila fanya kwa kulidhia ww bila ya kuperekeshwaNajisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi. Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda zangu sokoni nanunua mahitaji ya home sasa hii imepelekea majirani kunikalia vikao kua nimelishwa limbwata na kuwa mume bwege. Hivi hii inakuwaje kwa jamii zetu za kiafrica?
Mbona wazungu au waarabu, wapemba wanafanya hivi? Kwangu binafsi na wivu balaa kwa wife inabidi nimsaidie tuu maana dah najua mwenyewe ninachokipata.
asa hii imepelekea kusemwa kuwa mimi ni mume bwege, hivi kuna ubwege kumsaidia wife vikazi kazi?
Dude live your life kama wewe na mke wako mna furaha na unaenjoy mnavyoishi usijali maneno yao.Najisikia vibaya sana kila wanaume wanavyonisema kuwa mimi ni mume bwege kisa namsaidia wife vikazi kazi. Huwa sometime napenda kumsaidia kufua vyupi au kupika spesho msosi na siku naamua naenda zangu sokoni nanunua mahitaji ya home sasa hii imepelekea majirani kunikalia vikao kua nimelishwa limbwata na kuwa mume bwege. Hivi hii inakuwaje kwa jamii zetu za kiafrica?