Hivi ni ubwege kumsaidia mke wako kufua, kupika na kwenda sokoni?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anakuchora tu.tuishi nao kwa akili
 
Yaani hawataki umlishe Mtoto wako?Na wewe ukakubali?
Kwahiyo mtoto azimie kwa njaa?
 
Kufua, kupika, kwenda sokoni, na vikazi kama hivyo sio mbaya ila tatizo linakuja hawa wenzetu hua wanageuza kua kama ka utaratibu ka lazima anakupangia na zam, usipofanya anavuta domo.

Kwahiyo utaamua sasa ufanye au usifanye
 
Wanaokusema wote wanaona wivu kwasababu wao hawafanyiwi na waume zao au kama ni wanaume basi hawawafanyii wake zao na wanataka ulingane nao.Wewe ni mwanaume bora endelea kumsaidia mkeo.Wanawake tunapenda na kuvutiwa na wanaume wa aina yako sio mabeberu πŸ˜‰
 
achuke hii point mleta mada..[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Ndio.
 
H
 
Tunafanya sana hizo kazi za nyumbani, yaani tunafanya tena vizuri tu, Ila hatutaki kushurutishwa wala kulazimishwa. Weekends huwezi tu kukaa kizembe the whole day bila kushika kitu, sio afya hata kidogo.
 
Hahahaha eti kikao cha Kijasusi,walihisi labda tayari ushaelekezwa kibra wewe
 
Hayo ni mahaba lakini lazima iwe bila shuruti
 
Sio mbaya japo kwa dharura tu, ingawa ukiwazoeza hawa viumbe huwa wanajisahau sana, hata kama ukimsaidia sio kila mtu ajue kwamba huwa unamsaidia mkeo kuosha vyombo, ila usiwe unafua na vyupi bana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanamke wangu ntamsaidia vitu ambavyo hawezi kwa mfano wanawake wanaogopa umeme. Kuna kumshushia vitu vya juu ya kabati ama kutengeneza kitu chochote kibovu! Kukata nyama labda ndio kitu ambacho sionagi shida!

Nje ya hayo labda awe anaumwa aisee.
 
Akiwa mgonjwa ntamsaidia kila kitu nnachoweza ila kama yuko poa kwa mwaka inaweza kutokea mara moja kama sprz kwa sababu hawa watu ukiwazoesha imekula kwako atakuzarau! Ndo wanawake wakiafrika walivyo
Mwanamke wa kiafrika ukifanya vitu vya kum please anakudharau anakuona less of a man! Sio kosa lao sababu wengi wamekulia katika nyumba ambazo baba ni kavu a.k.a mkoloni ila wewe ukianza kumletea mapigo ya kifilipino lazma atakuona choko!

Wanajishaua tu humu kuwa they enjoy kusaidiwa hizo activity ila mwisho ataanza kuona kama hilo ni jukumu lako ndio unaambiwa si upike mbona unapikaga mi sio housegirl wako jifulie una mikono! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…