Hivi ninayeliona hili kwa Haji Manara na Mkewe Zaylisa ni Mimi peke yangu tu hapa JamiiForums au tuko wengi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.

Na hata nikimuangalia Mkewe Zaylisa kwa lile Jicho langu la Kinjagu (la Ndege Tai) namuona ni kama vile hafurahishwi kuwa na Haji Manara na kwamba kuna Mtu mmoja pembeni ama ndani au nje ya Nchi ndiyo analifaidi vilivyo Tunda lake zuri la katikati Mtini mwake.

Yawezekana pia Haji Manara anapitia magumu mengi mno na huyu Mkewe Zaylisa ila anaficha ili asiharibu Kibiashara.
 
Alimchukua for promo, but in reality ni suala la muda kabla na yeye hajalizwa.
Simping haijawahi kuwa solution
 
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.

Na hata nikimuangalia Mkewe Zaylisa kwa lile Jicho langu la Kinjagu (la Ndege Tai) namuona ni kama vile hafurahishwi kuwa na Haji Manara na kwamba kuna Mtu mmoja pembeni ama ndani au nje ya Nchi ndiyo analifaidi vilivyo Tunda lake zuri la katikati Mtini mwake.

Yawezekana pia Haji Manara anapitia magumu mengi mno na huyu Mkewe Zaylisa ila anaficha ili asiharibu Kibiashara.
Kikubwa jamaa anakula usiku hayo mengine mtajua nyie 😛😛😛
 
Kwa akili yako wewe, kuanzia mwanzo kabisa ulifikiri uyo Zaylisa ana mapenzi ya dhati kwa Manara?
 
Back
Top Bottom