GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.
Na hata nikimuangalia Mkewe Zaylisa kwa lile Jicho langu la Kinjagu (la Ndege Tai) namuona ni kama vile hafurahishwi kuwa na Haji Manara na kwamba kuna Mtu mmoja pembeni ama ndani au nje ya Nchi ndiyo analifaidi vilivyo Tunda lake zuri la katikati Mtini mwake.
Yawezekana pia Haji Manara anapitia magumu mengi mno na huyu Mkewe Zaylisa ila anaficha ili asiharibu Kibiashara.