Yaani huyu ni mmoja Kuna wengine hadi unajiuliza huyu anacheza na akili yanguVikram kakuelewa bff πππ
Kuna mmoja kaniuliza upo kwenye mahusiano??
Kabla sijamjibu kaniambia, Naomba jibu liwe upo single.
Sasa mtu km huyo utamjibu nini??
π€£π€£π€£π€£ hili nalo ni tatizo!Xorry my nimekumixx xana
Kwanini niulize? Kama nataka kukujulia hali si ningeanza mimi kukutafutaWadada kibao na elimu zao wanaandika huo ujinga. Halafu, kwani nikikusalimia huwezi kuendeleza maongezi? Mambo..poa, vipi..poa, unaendeleaje..poa. Yani wewe huwezi hata kuniuliza afya yangu?
Hizo walizitumia bibi na babu, ss hivi kipimo cha upendo kinapimwa na pesa πUhusiano bila pesa ndio huwa na maelezo mengiπ
Ila kumbuka hapo ndipo kuna mahusiano ya kweli.
Unakaa kimya, usijipendekeze kwa binadamu mwenzako. She's just human ukiondoa utofauti wa kuwa ana kidude unachokipenda.Mkuu,
Mfano wengine
Unatuma meseji asbh anajib usiku, unatuma meseji usiku anajib kesho mchana...
π€£π€£πππ π
Kwamba mtu akikusalimia yeye ndio aulize hali yako wewe sio shida zako? Engage kwenye salam, sio kila kitu anauliza mwenzako wewe ni mikato tu.Kwanini niulize? Kama nataka kukujulia hali si ningeanza mimi kukutafuta
[emoji16][emoji16][emoji16]Poa,ila Naomba usiniambie NIKWAMBIE.[emoji2]
ππ½ π That.Hizo walizitumia bibi na babu, ss hivi kipimo cha upendo kinapimwa na pesa π
Sasa kama sijakujulia Hali afya yako nipo uniambie NIKWAMBIE?ππ.....Wadada kibao na elimu zao wanaandika huo ujinga. Halafu, kwani nikikusalimia huwezi kuendeleza maongezi? Mambo..poa, vipi..poa, unaendeleaje..poa. Yani wewe huwezi hata kuniuliza afya yangu?
Sema dada yako mimi mdomo wangu huu utaniponza.
We Dogo uwe unaniita huko unyagoni Kwa dada yako@LamomySema dada yako mimi mdomo wangu huu utaniponza.
Ule uzi kufungwa na kufutwa kwa baadhi ya comments zetu ni kama warning ile....
Tukiyatindinganya tena....tutapewa π€ tukajikune upele mbele ya safari mwaya!!!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ oyooooooooo!!Sema dada yako mimi mdomo wangu huu utaniponza.
Ule uzi kufungwa na kufutwa kwa baadhi ya comments zetu ni kama warning ile....
Tukiyatindinganya tena....tutapewa π€ tukajikune upele mbele ya safari mwaya!!!
Nakuja tuongee π€£Kaka unanitishia??
Yani nimekuhifadhia million 10, kutoa elfu 20 ya safari na 30k ya kulipia luku pesa zako zikae kwenye usalama unataka kuniua??
Sasa nawaambia TRA unauza biashara za magendo na nawapigia polisi waje wakukamate unamiliki silaha kinyume cha sheria..!! Na unalima bhangi msata..!! πππ
Sijui ulipitwaje dada?? Jana ilikuwa faya mpk uzi ukafungwa πππWe Dogo uwe unaniita huko unyagoni Kwa dada yako@Lamomy