Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Vikram kakuelewa bff 😂😂😂
Kuna mmoja kaniuliza upo kwenye mahusiano??
Kabla sijamjibu kaniambia, Naomba jibu liwe upo single.
Sasa mtu km huyo utamjibu nini??
Yaani huyu ni mmoja Kuna wengine hadi unajiuliza huyu anacheza na akili yangu
 
Wadada kibao na elimu zao wanaandika huo ujinga. Halafu, kwani nikikusalimia huwezi kuendeleza maongezi? Mambo..poa, vipi..poa, unaendeleaje..poa. Yani wewe huwezi hata kuniuliza afya yangu?
Kwanini niulize? Kama nataka kukujulia hali si ningeanza mimi kukutafuta
 
Kwanini niulize? Kama nataka kukujulia hali si ningeanza mimi kukutafuta
Kwamba mtu akikusalimia yeye ndio aulize hali yako wewe sio shida zako? Engage kwenye salam, sio kila kitu anauliza mwenzako wewe ni mikato tu.
 
Mimi huanza mambo dada umependeza
Ajibu ajuavyo kinachofata ni?
Samahani naomba nkupe zawadi ya kupendeza hiyo picha lunch nikutumie kwa namba gani
 
Wadada kibao na elimu zao wanaandika huo ujinga. Halafu, kwani nikikusalimia huwezi kuendeleza maongezi? Mambo..poa, vipi..poa, unaendeleaje..poa. Yani wewe huwezi hata kuniuliza afya yangu?
Sasa kama sijakujulia Hali afya yako nipo uniambie NIKWAMBIE?🙄🙄.....
 
Roho imeniuma mimi 🥺🥺
Wenzao tulikuwa tunakula nondo kutoka kwa The great queen mother Madame B
Jana kanifurahisha sana.!! Hebu njoo useme neno Madame, sis Joannah nimepata dada mwingine mwenzio 😂😂😂
Sema dada yako mimi mdomo wangu huu utaniponza.
Ule uzi kufungwa na kufutwa kwa baadhi ya comments zetu ni kama warning ile....
Tukiyatindinganya tena....tutapewa 🤐 tukajikune upele mbele ya safari mwaya!!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 oyooooooooo!!
Ila dada jana mecheka kwa kweli 🙌🙌

Nakuja pm unipe nondo za kumteka baby 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Kaka unanitishia??
Yani nimekuhifadhia million 10, kutoa elfu 20 ya safari na 30k ya kulipia luku pesa zako zikae kwenye usalama unataka kuniua??
Sasa nawaambia TRA unauza biashara za magendo na nawapigia polisi waje wakukamate unamiliki silaha kinyume cha sheria..!! Na unalima bhangi msata..!! 😂😂😂
Nakuja tuongee 🤣
 
Sasa we Joannah ,kabisa si unajua wana vichwa viwili? Uliwahi kufikilia kinachosema hiyo nambie ni kipi🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪🤪🤪🤪🤫🤫🤫! Usikute unalalamikia cha juu,kumbe cha kulaumiwa ni kingine
 
Back
Top Bottom