Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Yaani huyu ni mmoja Kuna wengine hadi unajiuliza huyu anacheza na akili yanguVikram kakuelewa bff 😂😂😂
Kuna mmoja kaniuliza upo kwenye mahusiano??
Kabla sijamjibu kaniambia, Naomba jibu liwe upo single.
Sasa mtu km huyo utamjibu nini??