Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Umenikumbukusha mademu wa Arusha, huwezi hata kuchat nae atakukata stimu tu

Mtu unamuanza
You: mambo vipi salma
Yeye: mzuka Arif nigani

Dah unaona namna Gani hapa ila unajikaza unaendelea

You: salma nimekumis ujue
Yeye: acha basi kunifunga mota jombi

Unaona isiwe kesi unamblock
Ha haaa Depal hii ni Gani?
 
We kwani watuma miamala nao wanasemaga NIAMBIE?hao kazi yetu ni sisi kusema "BABY NIKWAMBIE KITU?🤣🤣
Ww ndo unaonekana msumbufu 😂😂
Wanaume watume pesa afu wasubiri tuwape maelekezo kituo gani kinafata..!!!
Hizi mambo, vipi? Uko poa? Mishe zinasemaje? Utasema hizo mishe kakupa yy.!! Mxieeeeww
Tumeni pesa ndio maswali yaendelee ebooh!!
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Badilisha cycle yako, inaonekana huwa namba unaombwa na wanaume wajinga wajinga tu.
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
nambie ndio mwisho wa akili yake
 
Back
Top Bottom