Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mie kuchat na Mwanamke ambae si mke wangu huwa napata uzito sana.. mpaka natext bas kuna sababu ya msingi maana siamini kama kuna story kati ya KE na ME ambao hawana connection ya mapenzi. Sana sana mtaongea umbea tu.
 
nadhani uko kama mimi mkuu.. tatizo mimi hadi kwa mpenzi wangu naona uzito sometimes
 
Hahahahaha na mm napendaga mtu muwazi. Mnamalizana

Tatizo wengine ukiwaambia kuna kimzigo hapa njoo tukipunguze anaanza maneno mengi oooh mimi sio....oooh mimi sijui...
Namna hiyo sio kupotezeana muda..!!
Ila kwenye miamala ndo muwatumie sasa, sio na nyie muanze ooh! Subiri week ijayo..!!
Na ww utume pesa kwa wakati
 
I hate cheap women in every three words two are connected with money.............wakati mapenzi sio pesa mapezi ya kununua hayana laadha.
Hahahahahaha...mkuu ukisema uwe nae hawakuelewi...sasa we nenda wanavyotaka... Toa na wao Watoe..

Mapenzi ya kistaarabu utafeli na ndio zitaanzishwa uzi kama hz ...
 
Back
Top Bottom