Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Binafsi Huwa sipendi namsalimia mwanamke anajibu pw nambie ,Sasa hapo umejibu salamu au? Kiufupi Huwa sipendi hiyo statement
 
Unakaa kimya, usijipendekeze kwa binadamu mwenzako. She's just human ukiondoa utofauti wa kuwa ana kidude unachokipenda.
Nilicho jifunza unaweza kupendwa na wanawake 99 ila wew uka fall Kwa msumbufu mmoja..

Heka heka za ujana wengine wame kua ma heartless hata hawashitushwi na chochote
 
Kila binadamu ana kiboko yakeπŸ˜‚
Kuna teacher mmoja alikuaga mkali sana na anaogopeka sanaa mpaka sifa zake zilivuma mkoa mzima Kwa kufaulisha na kutembeza bakora (Stick)

Cha AJABU Kwa tulio mfahamu nyumbani kwake alikua Hana kauli anaendeshwa na mkewe kama gari bovu πŸ˜…πŸ˜…
 
Tena hao mashababy ndio yanakuwaga machumba sana Kwa wake zao🀣
 
Sasa kama sijakujulia Hali afya yako nipo uniambie NIKWAMBIE?πŸ™„πŸ™„.....
Wewe kwa nini mwenzako yupo busy kuulizia unaendeleaje, majibu yako ni mkato tu mara poa, okay, asante...yani huna muendelezo wa maongezi. Unadhani huyo mwenzako anaendeleza vipi maongezi kama unajibu mikato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…