Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Binafsi Huwa sipendi namsalimia mwanamke anajibu pw nambie ,Sasa hapo umejibu salamu au? Kiufupi Huwa sipendi hiyo statement
 
Unakaa kimya, usijipendekeze kwa binadamu mwenzako. She's just human ukiondoa utofauti wa kuwa ana kidude unachokipenda.
Nilicho jifunza unaweza kupendwa na wanawake 99 ila wew uka fall Kwa msumbufu mmoja..

Heka heka za ujana wengine wame kua ma heartless hata hawashitushwi na chochote
 
Kila binadamu ana kiboko yake😂
Kuna teacher mmoja alikuaga mkali sana na anaogopeka sanaa mpaka sifa zake zilivuma mkoa mzima Kwa kufaulisha na kutembeza bakora (Stick)

Cha AJABU Kwa tulio mfahamu nyumbani kwake alikua Hana kauli anaendeshwa na mkewe kama gari bovu 😅😅
 
Tena hao mashababy ndio yanakuwaga machumba sana Kwa wake zao🤣
 
Sasa kama sijakujulia Hali afya yako nipo uniambie NIKWAMBIE?🙄🙄.....
Wewe kwa nini mwenzako yupo busy kuulizia unaendeleaje, majibu yako ni mkato tu mara poa, okay, asante...yani huna muendelezo wa maongezi. Unadhani huyo mwenzako anaendeleza vipi maongezi kama unajibu mikato?
 
Back
Top Bottom