Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Wazungumzie na baadhi ya ladies wanaojishaua kujibu english mkianza mawasiliano alafu ukiendeleza anakuambia kwani hujui kiswahili?

Au Unamwambia - Hello rafiki how is life going?

Anakujibu: Yes.

Kama mtu hujui lugha hiyo why uanzishe wakati hujajua competence yangu ikoje?
 
Nilicho jifunza unaweza kupendwa na wanawake 99 ila wew uka fall Kwa msumbufu mmoja..

Heka heka za ujana wengine wame kua ma heartless hata hawashitushwi na chochote
Na katika maisha lazima kuna wakati utaangukia usipopendwa, yaani unajilazimisha mtu wala hashtuki.
Aaah wa hivyo nakata kona chap sana!!
 
Kwamba mtu akikusalimia yeye ndio aulize hali yako wewe sio shida zako? Engage kwenye salam, sio kila kitu anauliza mwenzako wewe ni mikato tu.
Tumemaliza salamu Sema shida sasa unaniambiaje nambie
 
Na katika maisha lazima kuna wakati utaangukia usipopendwa, yaani unajilazimisha mtu wala hashtuki.
Aaah wa hivyo nakata kona chap sana!!
Mkuu,
Inaonyesha wew huwezi kujipendekeza kabisa 😊😊 ni aina ya watu kama Fid Q
 
Acha uongo
hata wanawake wana ujinga huu au nitume ushahidi hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…