Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Sasa nawe unamharakisha wapi anayetaka angalao akupe maisha ya siku 2/3.Ama tu ndio yale ya maskini jeuriπŸ˜…
 
I hate cheap women in every three words two are connected with money.............wakati mapenzi sio pesa mapezi ya kununua hayana laadha.
Cheap women ni wale unawalala bila kuwahudumia,umejioketea kilabuni,,tunza mwanamke wako uone kama utamwita cheap bro
 
Ilibidi nijitafakariπŸ˜…
Marehemu Issa Matona anakwambia" utashangaa mume kapita, katiwa kwapani, wewe unajiuliza yule si ni mume wangu, watu washapita nae, anapikiwa vimchuzi vya papa na sima laini..."
 
Stimu lazima ziyeyuke 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…