Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Kumekucha kumekucha
Haya wanaume mnaitwa na dada mkubwa huku [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sema dada akikutumia muamala mbona utamuanza mwenyewe kumwambia “Niambie” [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakaziaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa natumia kwa nisiye muelewaa.
Yaan had huwa nachekaaa.
 
mshukuru Mungu hata kwa huyo kiazi anakumbuka hata kusema mambo

kuna sisi ambao huwa hatutumi msg kabisa na hata tukitumiwa hatujibu


mi kuchat na mwanamke kazi nashida nakupigia na ukituma msg sahau majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…