Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Kwema?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Aione mtu flani 😆😆
Mimi huwa naishia kumjibu poa poa hadi mwisho.
Na kesho yake hivyo hivyo anaendeleza...ukimchunia anakasirika
 
Msgs ni kwa ajili ya kutoa taarifa, kwamba Joannah fanya hivi na hivi au kuna kitu kimeenda hivi etc. Kama mtu anataka kuchat basi ajitahidi awe na content, na walau ajue kuandika vizuri.

Anyways…. Niambie mahi 😜
🤣🤣 Eeeeh anakuwa Hana content...yaani analianzisha halafu Hajui muelekeo....aah mi namuomba Hela bwana
 
Aione mtu flani 😆😆
Mimi huwa naishia kumjibu poa poa hadi mwisho.
Na kesho yake hivyo hivyo anaendeleza...ukimchunia anakasirika
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo we Kila kitu poa poa poa....aaaah hawa watu jamani
 
Best friend hujambo!! ila natanguliza samahani namba yangu kuwa ngeni kwako, nikisema ni kwambie namb yko nilipo itoa labda naweza kukupa jibu litakalo zuwa migogoro au furaha na tabasamu zuri kutoweka usoni mwako.

Lengo na dhumuni langu ni kuwa karibu yako kama rafiki mwema na wakweli nitakae kujali na kukuthamini katika hali zote. Sina mengi ya kukueleza ila nina mema na vingi vya kugawana nawe endapo nikiipata nafasi hiyo adimu.

Ila mrembo kama nitakuwa nimekukwaza sina budi kukuomba samahani na namba yako bado sijai save ikiwa hujaridhia nipo tayari kuifuta muda wowote!
!

🤔🤔 Anyway huu☝🏽☝🏽ni ujinga tu.
Nilikuwa naangalia jibu zuri la

"NAMBA YANGU UMEITOA WP?"

Ukiniandikia hivi ni unalambwa block Moja Kwa Moja,maana huu uandishi umekaa kimjombamjomba sana
 
Best friend hujambo!! ila natanguliza samahani namba yangu kuwa ngeni kwako, nikisema ni kwambie namb yko nilipo itoa labda naweza kukupa jibu litakalo zuwa migogoro au furaha na tabasamu zuri kutoweka usoni mwako.

Lengo na dhumuni langu ni kuwa karibu yako kama rafiki mwema na wakweli nitakae kujali na kukuthamini katika hali zote. Sina mengi ya kukueleza ila nina mema na vingi vya kugawana nawe endapo nikiipata nafasi hiyo adimu.

Ila mrembo kama nitakuwa nimekukwaza sina budi kukuomba samahani na namba yako bado sijai save ikiwa hujaridhia nipo tayari kuifuta muda wowote!
!

🤔🤔 Anyway huu☝🏽☝🏽ni ujinga tu.
Nilikuwa naangalia jibu zuri la

"NAMBA YANGU UMEITOA WP?"
Siwezi kusoma sms ndefu kama hii
 
Back
Top Bottom