Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aione mtu flani 😆😆Kwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?
Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,
Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?
Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
🤣🤣 Eeeeh anakuwa Hana content...yaani analianzisha halafu Hajui muelekeo....aah mi namuomba Hela bwanaMsgs ni kwa ajili ya kutoa taarifa, kwamba Joannah fanya hivi na hivi au kuna kitu kimeenda hivi etc. Kama mtu anataka kuchat basi ajitahidi awe na content, na walau ajue kuandika vizuri.
Anyways…. Niambie mahi 😜
Aliyenitumia msg ananijua ila mi jina lake nitalijua kwenye imethibitishwa simple tyuu!! 😜Kwa hiyo siku hizi mwanamke haulizwi jina?jina anaulizwa mwanamke tu🤣
hahahaha daahAkili ndogo inataka kuzungumzia mambo makubwa 🤣🤣🤣
Ukiniandikia hivi ni unalambwa block Moja Kwa Moja,maana huu uandishi umekaa kimjombamjomba sanaBest friend hujambo!! ila natanguliza samahani namba yangu kuwa ngeni kwako, nikisema ni kwambie namb yko nilipo itoa labda naweza kukupa jibu litakalo zuwa migogoro au furaha na tabasamu zuri kutoweka usoni mwako.
Lengo na dhumuni langu ni kuwa karibu yako kama rafiki mwema na wakweli nitakae kujali na kukuthamini katika hali zote. Sina mengi ya kukueleza ila nina mema na vingi vya kugawana nawe endapo nikiipata nafasi hiyo adimu.
Ila mrembo kama nitakuwa nimekukwaza sina budi kukuomba samahani na namba yako bado sijai save ikiwa hujaridhia nipo tayari kuifuta muda wowote!!
🤔🤔 Anyway huu☝🏽☝🏽ni ujinga tu.
Nilikuwa naangalia jibu zuri la
"NAMBA YANGU UMEITOA WP?"
Kwanza sipendi normal text bora unipigie tuongee mbivu na mbichiNilikumiss tu
Siwezi kusoma sms ndefu kama hiiBest friend hujambo!! ila natanguliza samahani namba yangu kuwa ngeni kwako, nikisema ni kwambie namb yko nilipo itoa labda naweza kukupa jibu litakalo zuwa migogoro au furaha na tabasamu zuri kutoweka usoni mwako.
Lengo na dhumuni langu ni kuwa karibu yako kama rafiki mwema na wakweli nitakae kujali na kukuthamini katika hali zote. Sina mengi ya kukueleza ila nina mema na vingi vya kugawana nawe endapo nikiipata nafasi hiyo adimu.
Ila mrembo kama nitakuwa nimekukwaza sina budi kukuomba samahani na namba yako bado sijai save ikiwa hujaridhia nipo tayari kuifuta muda wowote!!
🤔🤔 Anyway huu☝🏽☝🏽ni ujinga tu.
Nilikuwa naangalia jibu zuri la
"NAMBA YANGU UMEITOA WP?"
Na hasira na visirani vyote vinaisha 🤣🤣🤣Ka meseji lenye virutubisho vya Kila aina,kanaondoa harara na miwasho kale😁😁
Na Kuna wale wa nmetoa namba yako kwa group save namba yangu tuwe tunaangalia statusUkiniandikia hivi ni unalambwa block Moja Kwa Moja,maana huu uandishi umekaa kimjombamjomba sana
Sema tu anayekuandikia hizo msg humpendi. Ungempenda ata emoj tu unaifuraiaHiyo ndio meseji pekee haijawahi kumkera binadamu