Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Me: Mambo
Ke: P
Me: Unaendeleaje
Ke: P
Me: Uko wapi
Ke: Hm

Sitarudia tena kuwasiliana na mtu wa hivi.
Wanawake mnajikuta sana kujibu watu shortcuts.
Mkuu,
Mfano wengine
Unatuma meseji asbh anajib usiku, unatuma meseji usiku anajib kesho mchana...

🤣🤣😂😂😅😅
 
Tatizo Wadada, wanawake wengine mwanaume ukiwa straight sana wanachukulia umewaona Malaya hichi nacho huwa ni kipengele kingine
 
Nooo huyo shule mgogoro🤣🤣🤣Nilikuwa na kasaidizi kangu nyumbani kakawa kananniandiki eti "SW" nikamwambia marufukuuu
Wadada kibao na elimu zao wanaandika huo ujinga. Halafu, kwani nikikusalimia huwezi kuendeleza maongezi? Mambo..poa, vipi..poa, unaendeleaje..poa. Yani wewe huwezi hata kuniuliza afya yangu?
 
Back
Top Bottom