MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Joannah nakutumiaje hizi hela zangu? Nimeuza mbaazi leo. Ndo naelekea kijijini centre kwa wakalaWazingatie huu ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joannah nakutumiaje hizi hela zangu? Nimeuza mbaazi leo. Ndo naelekea kijijini centre kwa wakalaWazingatie huu ushauri
Me: Mambo
Ke: P
Me: Unaendeleaje
Ke: P
Me: Uko wapi
Ke: Hm
Sitarudia tena kuwasiliana na mtu wa hivi.
Wanawake mnajikuta sana kujibu watu shortcuts.
Na bora ningekuwa namjua simjui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli vickram hana pesa mpk bff unamuona chakaramu umeamua kumleta jf 😂😂😂
I hate cheap women in every three words two are connected with money.............wakati mapenzi sio pesa mapezi ya kununua hayana laadha.
Mixi Gf... Kalib ture wari...Xorry my nimekumixx xana
Mimi sio kama wao. Nina kanuni zangu😋😋Sema kama wenzio,nikuwekee kwenye namba Gani?mi nasema Voda!halafu nangojea imethibitishwa!
Axantre moi metoka kura xhipxMixi Gf... Kalib ture wari...
🤣🤣 sio kibinamu binamu?😅Ukiniandikia hivi ni unalambwa block Moja Kwa Moja,maana huu uandishi umekaa kimjombamjomba sana
Niko salama 😃😃Mambo?
Salama?
Mzima?
Kwema?
#YNWA
Mkuu,Me: Mambo
Ke: P
Me: Unaendeleaje
Ke: P
Me: Uko wapi
Ke: Hm
Sitarudia tena kuwasiliana na mtu wa hivi.
Wanawake mnajikuta sana kujibu watu shortcuts.
Vikram kakuelewa bff 😂😂😂Na bora ningekuwa namjua simjui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uhusiano bila pesa ndio huwa na maelezo mengi😅Hii msg au unaandika barua ya kuomba kwenda likizo kwa shangazi??
Wadada kibao na elimu zao wanaandika huo ujinga. Halafu, kwani nikikusalimia huwezi kuendeleza maongezi? Mambo..poa, vipi..poa, unaendeleaje..poa. Yani wewe huwezi hata kuniuliza afya yangu?Nooo huyo shule mgogoro🤣🤣🤣Nilikuwa na kasaidizi kangu nyumbani kakawa kananniandiki eti "SW" nikamwambia marufukuuu