Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ni fresh tu ndugu yangu πSalama za wewe?,.
Nakazia maana haipatikaniJifunze kuacha kutafuta huruma kwa watu....
Mnafiki ni mtu mbaya sana,katika dini ya kiislamu inasemwa ni bora muuaji kuliko mtu mnafikiUtaelewa kwanini wanasema bora mchawi kuliko mnafiki.
Ni kwamba wewe ulichelewa kumgundua huyo mtu kuwa ni adui yako, kama hahusiki kukusababishia tatizo ulilokuwa nalo, bas anamfahamu mhusika au chanzo.Good morning,.
Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidieπ₯Ί,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja.....
Kila siku atakupigia simu kujua unaendelea ,.Pole zinakua nyingi mnoo na kuulizia Jambo lako limefikia wapi,. Utasikia "Ee Mungu wangu tunafanyaje maskini " .. Atakwambia usijali Jambo litakaa sawa ni suala na mda Tu kuwa na Subira..
Haya sawa baada ya mamiezi kupita umetokea umeovercome Ile challenge,. And your so excited kumwambia Yule MTU ambae uliona mlikua mnahuzunika pamoja walau mcelebrate au mumshukuru Mungu Kwa pamoja,. .. Heeeey!π,. Kwanza reaction Yake inabadilika badala ya furaha anakua na huzuni,. Anakupa hongera hiyo ambayo unakaa unajiuliza hivi huyu Yuko sawa kweli?,.
Haishii hapo,. Anakuzunguka Kwa watu wengine wanakaa kukujadili hivi imewezekanaje?,. Hili haliwezekani sio yeye itakua kuna mtu nyuma!. And yes MTU amekuvusha,..Anaona haitoshi anamtafuta Hadi aliyekusaidia kutaka kujua kwanini amekusaidia na mmepeana nini in return,. Yaani hataki kukubali kiurahisi kama ni kweli umevuka Ile changamoto..
Asa nmekaa nimejiuliza,. Ina maana yeye furaha yake ilikuwa kuniona nateseka au,. Kuniona nalia kila siku anavyonipa pole yeye ndio anajiskia furaha?,. Yaani yeye anafurahi kunipa pole na sio kunipa hongera au kunipongeza tufurahike pamoja tumeovercome tatizo,.
Nina wasiwasi hata tulivyokua tunasali, tutafunga na kuomba nlikuwa nasali mwenywe huyu mnafki hatukua tutafunga wote kama alivyokua alinambia,.
Wanadamu nimewanyoshea Miguu,. Maana mikono imeshachoka kuandika
ππππ nimecheka sanaa.Serious huyu bible jinsi alivyokua bega Kwa bega na Mimi,. Saizi ilitakiwa aniulize Kwanza wine tunaenda kunywea wapi yaani tuenjoy tufurahike pamoja,.
Imekuwa tofauti eti mwe!
Sio binadamu , sema wamatumbi.Binadamu asilimia kubwa huwa wanapata burudani kwenye matatizo ya watu. Akifahamu tu fulani ana tatizo basi stress zake zote kwishaaa
Basi twende wote kama amesusa mimi nakunywa mirinda tu.Serious huyu bible jinsi alivyokua bega Kwa bega na Mimi,. Saizi ilitakiwa aniulize Kwanza wine tunaenda kunywea wapi yaani tuenjoy tufurahike pamoja,.
Imekuwa tofauti eti mwe!
Naunga mkono hoja.Ni kwamba wewe ulichelewa kumgundua huyo mtu kuwa ni adui yako, kama hahusiki kukusababishia tatizo ulilokuwa nalo, bas anamfahamu mhusika au chanzo.
Katika watu usipende kuwaamini ni watu wanaojionyesha wema sana, watu wa dini.
Mungu mfuate wewe kama wewe, ukiwa peke yako, masuala ya kumfuata Mungu kwa kikosi uyaache.
Watu wanaojionesha kumpenda sana Mungu, wana mambo yakifunuliwa kwako, utazimia...
Na haipo kabisa, tukuhurumie ili iweje sasa jamani...tunafurahi tukiteseka wote πππNakazia maana haipatikani
Kweli!Mnafiki ni mtu mbaya sana,katika dini ya kiislamu inasemwa ni bora muuaji kuliko mtu mnafiki
Hapa unapata jibu kuwa mnafiki ni sumu kali sana,maana kwako yupo kumbe kiuhalisia hayupo,unamwamini kumbe anakuangamiza
Naomba nikusindikize, ni wapi chanta au La chalz?ππππ. Am telling you saizi ilibidi tuamkie viwanja tukishangiliaπ»
Hili nimejifunza pia,Lia pekeyako furahi pekeyako....changamoto yangu ni furaha kwa wengine na furaha yangu ni huzuni kwa wengine.Jifunze kuacha kutafuta huruma kwa watu....
Yeah ni kweli,.Ni kwamba wewe ulichelewa kumgundua huyo mtu kuwa ni adui yako, kama hahusiki kukusababishia tatizo ulilokuwa nalo, bas anamfahamu mhusika au chanzo.
Katika watu usipende kuwaamini ni watu wanaojionyesha wema sana, watu wa dini.
Mungu mfuate wewe kama wewe, ukiwa peke yako, masuala ya kumfuata Mungu kwa kikosi uyaache.
Watu wanaojionesha kumpenda sana Mungu, wana mambo yakifunuliwa kwako, utazimia...