Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Punguza na usimtegemee binadam kwa loloteNdio uko sahihi ila kwa ladies sio rahisi sana na inategemea na mahusiano ya watu hao, halafu issue ya ku-cutt off watu nilikuwa nayo aisee kuna muda unabaki mwenyew.. nilikuwa na kaujeuri hako! Inafika mahali u need people too sio makwazo kdg u leave, nikazoea saiz tunaishi nao tu! Utaachana na wangapi? Ulimwengu huu watu waaminifu wachache mno..! Ukisema uchunguze huwezi kumpata ni kama ndoa tu😅
unaujua ule wimbo wa nyota ndogo? kuna watu na viatu
ewaaaaLyrics of Watu Na Viatu by Nyota Ndogo
Rafiki yangu mpendwa naja kwako siku nyingi
wanipokea kwa uzuri siku zote
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
moyoni mwangu najua nina rafiki huyu wa kweli
hakuna yule ambaye atakuja kati yetu
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Ooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
achana nao, waepuke haraka sana
Hivi majuzi nilipata kazi nzuri nikaja kukueleza
mtu wa kwanza nilifikiria ni wewe rafiki yangu
nilifurahi na kuruka na kutaja jina lake mungu
nikikuangalia mwako usoni usoni umejisononesha
Ukaanza kusonya ukirusha mikono
sura umeikunja kumbe hukufurahi
mafanikio yangu nilikuachi mimi kuja kukueleza
x2
Mtu wa kwanza mimi kumfikiria ni we rafiki yangu
Ooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
achana nao, waepuke haraka sana
(repeat to end)
Writer(s): Nyota Ndogo
Okay thanksJifunze kuwa na siri katika mafanikio yako na hata shida zako
Urafiki ni wakati tukiwa shule za msingi tu.
Huko ndio kuna upendo wa dhati
Ukivuka stage hiyo basi unaanza kuwa peke yako na mambo yako.
Usisubiri sympathies za so called friends
Yaaan acha tuu...Kuna mtu aliwahi niambia Kwa kuwa hamjapata matatizo muda mrefuu ndio maana limetokea hili...Nikajiuliza amejuaje hatuna matatizo?..Ila walimwengu 🙌Binadamu asilimia kubwa huwa wanapata burudani kwenye matatizo ya watu. Akifahamu tu fulani ana tatizo basi stress zake zote kwishaaa
Exactly 💯Ni kwamba wewe ulichelewa kumgundua huyo mtu kuwa ni adui yako, kama hahusiki kukusababishia tatizo ulilokuwa nalo, bas anamfahamu mhusika au chanzo.
Katika watu usipende kuwaamini ni watu wanaojionyesha wema sana, watu wa dini.
Mungu mfuate wewe kama wewe, ukiwa peke yako, masuala ya kumfuata Mungu kwa kikosi uyaache.
Watu wanaojionesha kumpenda sana Mungu, wana mambo yakifunuliwa kwako, utazimia...