Ndio mana yanashonwa makubwa ili yaingie upepoView attachment 3146267
Raha ya Dera kulishikilia
Basi at least wawe wanavaa kavu kavu kuliko na mibukta ndaniView attachment 3146267
Raha ya Dera kulishikilia
Mh!ndani amevaa ribukta la man united au Yanga.
Wanaangalia yanga kwanza wanakujaHabari la jioni dada zangu wapendwa.
Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu.
Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga.
Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na Buza.
NB; Vijana na wafanyabiashara wa buguruni nimefungua BUGURUNI BUSINESS POINT chini ya kampuni yangu pendwa ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES ipo hapa bugurunì sheli na hizi ndio huduma zetu
Ahsante
Fuso lina turubai lakini mzigo unaonekana.View attachment 3146267
Raha ya Dera kulishikilia
Mzigo umefunikwa na turubai lakn bado mzigo unaonekanaView attachment 3146267
Raha ya Dera kulishikilia
Dera limemkaa haswa!View attachment 3146267
Raha ya Dera kulishikilia
Siyo upepo tu,pia ni stahimilifu kwa miili inayoumka kama andazi lenye baking powder nyingi.Ndio mana yanashonwa makubwa ili yaingie upepo
Ndimbwa ndimbwa kwemye dera 😂Siyo upepo tu,pia ni stahimilifu kwa miili inayoumka kama andazi lenye baking powder nyingi.