Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

Kama kuna watu wanaishi maisha ya kinafiki ni hawa mapadri.
Huku mtaani wanavuruga sana wake za watu, ona sasa huyu na tuhuma za kubaka watoto.

Kanisa bila kufanya mabadiliko juu ya hawa watawa litakumbwa na kashfa za mara kwa mara.

Fanyeni mageuzi kwenye sera zenu,waruhusuni waoe,kuliko kujificha kwenye Chaka la useja kumbe ndani ni waharibifu wakubwa.

Tena huyu mbakaji ikibainika pasi na shaka katenda kosa ,ale Mvua za kutosha iwe mfano kwa wengine.
 
Hili swala Liko juu ya uwezo wako wa kufikiri..achana nalo uta jiabisha tu hapa
 
Na wachagga mmezidi kuwanyenyekea hao Mapadri (mopya)! Siku moja niliwananga ile mbaya katika upadrisho wa kijana wetu. Wakachukia sana. Niliwaeleza kuwa upadre ni sawa na kazi nyingine yoyote kama ualimu , udaktari hata umesenja. Hivyo wasijione ni tofauti katika jamii. Huwezi amini walichukia sana nami nikafurahi kuwa imewaingia
 
Hujawahi kuona mtu anabambikiwa mashitaka?

Pasipo uwepo wa mawakili, je hawa watu wenye haki na wenye kubambikiwa kesi watapataje haki?

Just to inform you, waliopo magereza sio wote wenye hatia, wapo ambao wapo huko kwa sababu walikosa utetezi sahihi...
 
Huwezi kulazimisha utamaduni wa watu wengine ufuatwe na watu wenye utamaduni Fulani.

Wachaga wanaheshimu sana mapadre na walimu, acha ibaki hivyo.
 
Tatizo linaanza na jamii.
Hao watu wanajulikana, walitakiwa waoneshwe mfano hakika vitendo vitapungua. Na pia elimu itolewe kwa watoto.
Paedofiles wajulikane, wawe blacklisted kufanya lolote.

Wauliwe
 
Kesi yake ni ngumu kwa wakili mwenye conscious. Mtoto ameharibiwa tayari unamtetea nini. Yani natamani watu wa hivyo wasingekua na mawakili ikidhitishwa kwamba ni kweli vipimo na ushahidi ulidhabiti wapewe kipondo.
 
Hili swala Liko juu ya uwezo wako wa kufikiri..achana nalo uta jiabisha tu hapa
Kwanini nijiabishe nimeuliza swali kama wengine ambavyo wangeuliza. Mimi nashangaa wakili anaemtetea anapataje guts .Sema ndo sheria ipo hivyo ila nchi nyingine anapigwa shaba
 
Katika hili nazikubali sana nchi za kiarabu, yani jino kwa jino haijalishi wewe ni nani ikionekana umekengeuka mawe tu hadharani hadi ufe maana hakuna namna , huko kwetu tnaleana leana sana na kupetianapetiana, jitu linainamisha watoto tena kwenye kanisa leo bado linaitwa sijui chungaji sijui takataka gani SHAME
 
Kesi yake ni ngumu kwa wakili mwenye conscious. Mtoto ameharibiwa tayari unamtetea nini. Yani natamani watu wa hivyo wasingekua na mawakili ikidhitishwa kwamba ni kweli vipimo na ushahidi ulidhabiti wapewe kipondo.

Kwani kwenye hii kesi, zaidi ya tuhuma kwa padre je kuna ushahidi dhahiri wowote unaoujua?
 
Radio Maria kwenye kipengele cha kusoma magazeti asubuhi hizi habari za Padre hawazisomi sikuhizi....
 
Sheria ifate mkondo. Jambo la kihalifu lishughulikiwe kuhalifu. Ukatoliki hauna uhusiano na uhalifu!
 
Kwanza hyo kesi itaishia hewani tu,,Dpp ataifuta muda wowote,,kuna mikataba mizito kati ya vatican na serikali nyingi duniani labda kanisa liamue kumnawa lkn kama liko nae jua kabisa hapo hamna kesi.
 
Una ushahidi gani kua katenda hayo?
Hukuona yale ya mama na mwanae walimfunga baba kusingizia kabaka mwana?

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Mkianza kusema mna ushahidi gani ndipo hapo mnaaanza kuwapa nguvu watu wa namna hii. Ni bora mngeonyesha ukali iwe kweli au isiwe kweli kuwatisha hata waliokuwa na mpango wa kufanya hivi.
 
Sheria ifate mkondo. Jambo la kihalifu lishughulikiwe kuhalifu. Ukatoliki hauna uhusiano na uhalifu!
Yah hauna uhusiano na uhalifu ndo maana watu kama hwa wanaochafua taswira ya kanisa wawajibishwe perpendicular.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…