Hali ya usalama haijulikani?Acheni ujinga!Sasa si wangezungumza juu ya usalama,sasa unamuita CDF kwenda kumwambia juu ya kujifukiza sijui na mambo ya chlorine!!!
Shame!
Hali ya usalama haijulikani?Acheni ujinga!Sasa si wangezungumza juu ya usalama,sasa unamuita CDF kwenda kumwambia juu ya kujifukiza sijui na mambo ya chlorine!!!
Shame!
Sawa mkuu ya kwako ndefu sana. Wenye akili fupi tumeona suala la udharura ni CORONA.Akili yako fupi!!!
Eti codes,yaani sijui watanzania mmelogwa na nani?Hamuoni hata paranoia ya jiwe?Angefanya nao video conferense na kuwapa maelekezo angepungua nini?Ulitaka aongee yote pale? Ili iweje? Codes lazima zitumike. Anajua yeye na watu wake wamejadili nini. Lile lilikuwa hitimisho tu.
Wengi wanamuona kama ana paranoia!Ni mtazamo wako na Chuki zako tu kwa Rais JPM ila sidhani kama huu utakuwa ni Mtazamo wa Watanzania wengi wenye Akili.
Adui namba moja ni korona, rais alipaswa kukutana na KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA, WAZIRI WA AFYA, MGANGA MKUU WA SERIKALI(HATA KAIMU), WAGANGA WAKUU WA MIKOA WOTE WA TANZANIA BARAHivi unajua kuwa ndani ya Janga fulani usipokuwa makini na Usalama wako kama Nchi unaweza kutoa mwanya kwa Maadui?
Mbona alishawalipa na anaendelea kuwalipa,we uoni walivopoteana hata wao wameumizwa wanajuta.Hakuna cha wastaafu,wazee wa dsm,Wala sijui cha nani wote ni takataka tuKimsingi mimi nami ni miongoni mwa binadam tunaoshangaa lile tukio la Sina yake, hivi kweli ulinzi na usalama kwani aliambiwa alshabab wanataka kufanya yao ama, issue ni Corona lakini hata nesi hakwepo kwenye kikao.aisee ccm mlichotufanyia 2015 kutuletea hii jamaa mungu atawalipa kwa kipimo kilekile.
Mkuu hiyo facial ilikuwaje au ni Kama ile ya monduli wakati anapokea wahamiaji wa ccm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanamuona kama ana paranoia!
Mlimchokoza naodha kwamba kakimbia chombo naona karudi.Hapana sijaoteshwa...........
Bali nimetafakari na kuangalia mantiki ya "kuwasomba" wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kwenda kuongelea suala la ugonjwa wa corona, wakati hilo suala ni la kitaalam, ambalo lilifaa kuwaita wataalamu wa Afya nchini
Ukijitengenezea maadui lzm uishi kila kitu ni adui.Hofu ni ugonjwa mbaya sanaHivi unajua kuwa ndani ya Janga fulani usipokuwa makini na Usalama wako kama Nchi unaweza kutoa mwanya kwa Maadui?
Tizi imejaa watoto wa uvccm wanaochukuana tu bila professionalsim,wangekuwepo hata wasiojulikana wasingekuwepo,hata nchi isingechezewa wapo kwa ajili ya kuwashughulikia wapinzani tu.Kinachonishangaza hatujui nia ya huyu jamaa ktk nchi yetu anaonekana kbsa hayuko fit kua president alaf watu kama TISS wanaangalia tu,kweli unaeza mpa uraisi hata kingwendu na Tiss wakaufyata tu.
Naona michango yao tu humu! Ni analysis ya maoni tu,au niweke poll hapa uone itakavyokuwa?Hao Watu wako wengi unaowasema hapa uliwafanyia lini Utafiti wako wa Jumla hadi ukaja na HITIMISHO la Kipumbavu hivi?
Sawa mkuu ni rubbish lakini kwa mtazamo wangu ndiyo huo nchi haiko kwenye vita.