Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Nafikiri kila mwenye utashi wa nafsi alishangaa kwa tukio lile, sijua wale maafande walimpa feedback gani kuhusiana na hali ya ugonjwa huu.

Pili kwa nini aliona watu wanakosea kwa kupuliza dawa mtaani akabaki kuwaangalia tu na kusubiri kuwananga mbele ya makamera (japo siwasupport kwa walilofanya)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ya usalama haijulikani?Acheni ujinga!Sasa si wangezungumza juu ya usalama,sasa unamuita CDF kwenda kumwambia juu ya kujifukiza sijui na mambo ya chlorine!!!
Shame!

Ni mtazamo wako na Chuki zako tu kwa Rais JPM ila sidhani kama huu utakuwa ni Mtazamo wa Watanzania wengi wenye Akili.
 
Ulitaka aongee yote pale? Ili iweje? Codes lazima zitumike. Anajua yeye na watu wake wamejadili nini. Lile lilikuwa hitimisho tu.
Hali ya usalama haijulikani?Acheni ujinga!Sasa si wangezungumza juu ya usalama,sasa unamuita CDF kwenda kumwambia juu ya kujifukiza sijui na mambo ya chlorine!!!
Shame!
 
Ulitaka aongee yote pale? Ili iweje? Codes lazima zitumike. Anajua yeye na watu wake wamejadili nini. Lile lilikuwa hitimisho tu.
Eti codes,yaani sijui watanzania mmelogwa na nani?Hamuoni hata paranoia ya jiwe?Angefanya nao video conferense na kuwapa maelekezo angepungua nini?

Baadaye angetaka kuhutubia taifa angefanya hivyo!Facial expression ya wakuu wale ikisema mengi wakati wanamsikiliza!
 
Tigershark, Kimsingi mimi nami ni miongoni mwa binadam tunaoshangaa lile tukio la aina yake, hivi kweli ulinzi na usalama kwani aliambiwa alshabab wanataka kufanya yao ama, issue ni Corona lakini hata nesi hakwepo kwenye kikao.

Aisee CCM mlichotufanyia 2015 kutuletea hii jamaa mungu atawalipa kwa kipimo kilekile.
Mkuu hiyo facial ilikuwaje au ni Kama ile ya monduli wakati anapokea wahamiaji wa ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lihakanga,
Ukiwa na mawazo negative ya kulogwalogwa ni lzm uwe ni fikra chafu kwamba kila mtu ni mchawi ndo madhara ya hofu sababu ya mabaya ukiwatendea wenzao kuweweseka huwa hakutokuacha Hadi kaburini.Iingie akilini kweli mtu apandikize virusi ili iweje,kwa interest ipi,
 
Kimsingi mimi nami ni miongoni mwa binadam tunaoshangaa lile tukio la Sina yake, hivi kweli ulinzi na usalama kwani aliambiwa alshabab wanataka kufanya yao ama, issue ni Corona lakini hata nesi hakwepo kwenye kikao.aisee ccm mlichotufanyia 2015 kutuletea hii jamaa mungu atawalipa kwa kipimo kilekile.
Mkuu hiyo facial ilikuwaje au ni Kama ile ya monduli wakati anapokea wahamiaji wa ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona alishawalipa na anaendelea kuwalipa,we uoni walivopoteana hata wao wameumizwa wanajuta.Hakuna cha wastaafu,wazee wa dsm,Wala sijui cha nani wote ni takataka tu
 
Hapana sijaoteshwa...........

Bali nimetafakari na kuangalia mantiki ya "kuwasomba" wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, kwenda kuongelea suala la ugonjwa wa corona, wakati hilo suala ni la kitaalam, ambalo lilifaa kuwaita wataalamu wa Afya nchini
Mlimchokoza naodha kwamba kakimbia chombo naona karudi.
 
Hivi unajua kuwa ndani ya Janga fulani usipokuwa makini na Usalama wako kama Nchi unaweza kutoa mwanya kwa Maadui?
Ukijitengenezea maadui lzm uishi kila kitu ni adui.Hofu ni ugonjwa mbaya sana
 
Kinachonishangaza hatujui nia ya huyu jamaa ktk nchi yetu anaonekana kbsa hayuko fit kua president alaf watu kama TISS wanaangalia tu,kweli unaeza mpa uraisi hata kingwendu na Tiss wakaufyata tu.
Tizi imejaa watoto wa uvccm wanaochukuana tu bila professionalsim,wangekuwepo hata wasiojulikana wasingekuwepo,hata nchi isingechezewa wapo kwa ajili ya kuwashughulikia wapinzani tu.
 
Back
Top Bottom