rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Private school zilikuwepo lakini mfumo wa vyama vingi tulikuwa nao wakati tunapata Uhuru na ulifutwa mwaka 1965.No one is perfect!, kabla ya uhuru ni kweli hatukuwa na private school, pia it's true vyama vingi vimeanza mwaka 1992.
P
Hizo PhD za heshima ni recognition ya juhudi zake as appreciation to encourage her to do more. Ukipewa good services yoyote, na kusema asante, hiyo asante haisaidii kitu, ila its good to be appreciative.Kwanini kama watu wanahitaji maendeleo hizo PhD za heshima anazopewa Samia kila kukicha zinamsaidiaje mtanzania kimaendeleo?
Mnapompamba kwa PhD hizo za heshima muwe tayari kusikia msiyoyapenda kuyasikia ikiwemo kutrace back path yake kielimu kupata nishani za darasani.
Is that even hard to grasp ndg wakili?
Ww mtko...huna ubongoViwanda vibovu, wewe ni mbumbumbu
Kwani master au PhD za heshima mpaka uwe umeandika kitu?Ungeelewa swali. Huwezi kuwa na masters bila kuwa na andiko. Ndio maana anauliza ameandika andiko gani?
Majina ya vitabu mkuu..tafuta vitabu vya Edwin Mtei, na Andy Chande.
..naamini ukichanganya na uzoefu wako utapata full picture ya nini kiliangusha uchumi wetu.
Aligundua anatawala mang'ombe na mapunda ambayo hayaendi bila kichapo....ukiyaletea diplomacy yenyewe yanakuona ni dhaifu unayaogopa...bado Sabaya naye atarudi aendeleze kichapo!Rais Samia alivyokuwa anaanza urais alikuwa idealist fulani hivi, maridhiano, demokrasia, 4R , Rule of law n.k
Baadae akaja kuona upuuzi wa siasa za Afrika, akaamua kuwa pragmatic kama Magufuli
Nyerere ndiyo alianzisha utamaduni wa mwenzetu....ukiiba shirika moja unahamishiwa jingine ukaibe tena.Nyerere hakufilisi uchumi wa nchi. Nyerere alianzisha mashirika na viwanda vingi tu lakini hakujua watanzania ni wezi na wavivu wa kutupwa. Enzi za Nyerere watu waliokuwa wanasoma bure. Hospital bure. Kulikuwa mpaka na kupewa warrant wa kusafiri kwa wanafunzi na watu wengine kama wanamuziki. Kwa kifupi watu wa kawaida ndiyo walikuwa wana-enjoy keki ya Taifa. Hebu nionyeshe katika hizi nchi za sub-Sahara African countries ni nchi ipi wananchi wake walikuwa wanaishi vizuri kama Tanzania kipindi cha Nyerere! Nyerere mpaka raslimali aliziacha kwa matumizi ya baadae. Sasa hizi wanashindana kuzipiga bei.
Mkuu P.,
Zile shule za kanisa alizotaifisha Nyerere hazikuwa private?No one is perfect!, kabla ya uhuru ni kweli hatukuwa na private school, pia it's true vyama vingi vimeanza mwaka 1992.
P
Wanamtunuku Phd kila mwaka na wanataka kumpa na uprofesaNchi haina wasomi hadi rais ndo aandike paper? au kuwa rais unatakiwa uwe na publications ngapi.....tuanzie hapo kwanza.
Kiongozi wa nchi aliyeshindwa kusoma mkataba wa bandari na kuulewa anapewa heshima ya PhD ni ujingaNimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Siasa tu hizo, hakuna msomi humo.Wanamtunuku Phd kila mwaka na wanataka kumpa na uprofesa
Sasa hukuona nimemuandika Tiny na LONRHO?Basi usiongee mambo usiyoyajua. Tiny Rowalnd alikuwa anamiliki kampuni ya LONRHO - Yaani London Rhodesia akiwa anashikirikiana na utawala wa ubaguzi wa rangi wa smith huko Rhodesia (ambayo leo ni Zimbabwe). Hapa kwetu hakuwa na kiwanda cha kutengeza matrekta bali alikuwa na mashamba ya chai huko nyanda za juu na Korogwe, pamoja na kiwanda cha mabkosi cha printpak. Kiwanda cha Valmet kililetwa na Nyerere kutoka Finland.
Alifukuzwa Tanzania mwaka 1977 muda mfupi baada ya kuzaliwa CCM kwa kutokutii maamuzi ya umoja wa mataifa kuhusu vikwazo Zimbabwe
DP World wapo au hawapo?Kiongozi wa nchi aliyeshindwa kusoma mkataba wa bandari na kuulewa anapewa heshima ya PhD ni ujinga
Aliipokea nchi ikiwa uchumi wa kati leo tupo ziro!
Alafu unampa PhD?
Nimeyaishi hayo tena nna akili zangu timamu, labda wewe ndiyo umehadithiwa.Unaongea mambo ya kisimuliwa tu; sijui wewe wakati huo wewe ulikuwa wapi kwani ilitokea mwishoni mwa mwaka 1977 baada ya msuguano na Azimio la umoja wa mataifa. Alihangaika sana kuikaba Tanzania lakini hakufanikiwa kabisa. Wakati mwingine watu wenye mtazamo mfupi kama wewe hupenda kuchanganya matokeo ya vita mwaka 1980 na matokeo ya sera za nchi kabla ya 1979.
Paper zipiza kufanyia kazi? Kuna wasomi hapa? Hapa kuna mabaki ya wanaojidai wasomi, Unafikiri Wazungu wajinga wanaotowa scholarship za bure?Japokuwa umejaza sababu zisizoendana na swali ulilo ulizwa
Tatizo sio wasomi kuandika paper ni papers hazifanyiwi kazi. Huo umekuwa utamaduni wa nchi.
Or for someway wasomi hawadhaminiki na siasa ndio zinaamiwa zaidi.
Jiulize wewe mbantu ambae siyo kwenu huku pwani unafanya nini?Sasa kama ni kuzuri mmejazana bara kutafuta nini? mishahara inatoka bara na kila kitu
Mwehu nini? bara siyo kwetu? Nendeni kwenu uarabuni sijui kwanini hampatakiJiulize wewe mbantu ambae siyo kwenu huku pwani unafanya nini?
Wewe wakuja tu kutokea Cameron na Congo huko.
Soma vizuri historia yako kijana, Mwarabu umemkuta huku pwani kakupokea. Wewe wakuja tu. Hii unayooita bara wala hujakosea hili lote lilikuwa bara la Zenj "Zenjbar".Mwehu nini? bara siyo kwetu? Nendeni kwenu uarabuni sijui kwanini hampataki