Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

Nyerere alifunga kiwanda cha Matrekta cha LONRHO akafunguwa kiwanda cha majembe ya mkono UFI Ubungo

"If such are the priests God bless the congregation".
Pumba! Unayajua kiwanda cha matrekta ya Valmet?
 
Nyerere alifunga kiwanda cha Matrekta cha LONRHO akafunguwa kiwanda cha majembe ya mkono UFI Ubungo

"If such are the priests God bless the congregation".
Mkuu nyerere kuna kitu alitaka kutufanya watanganyika ila Mungu nae akamuepusha
 
Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.

Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.

Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Huwa anaandika za kwenda Oman
 
..kama kuna ujinga kwenye siasa za Tz basi umesababishwa na Ccm kwasababu ndio wametuongoza tangu tupate uhuru.

..Ccm pia ndio walioasisi na kusimamia mabadiliko yaliyofungua milango ya mfumo wa vyama vingi.

..matatizo yetu ya kisiasa yametokana na kutokutekelezwa kwa ukamilifu kwa mapendekezo ya Tume ya Jaji Mkuu Francis Nyalali.
CCM haijawahi kuwa na nia njema zaidi ya wizi wa mali za umma pekee
 
Nyerere hakufilisi uchumi wa nchi. Nyerere alianzisha mashirika na viwanda vingi tu lakini hakujua watanzania ni wezi na wavivu wa kutupwa. Enzi za Nyerere watu waliokuwa wanasoma bure. Hospital bure. Kulikuwa mpaka na kupewa warrant wa kusafiri kwa wanafunzi na watu wengine kama wanamuziki. Kwa kifupi watu wa kawaida ndiyo walikuwa wana-enjoy keki ya Taifa. Hebu nionyeshe katika hizi nchi za sub-Sahara African countries ni nchi ipi wananchi wake walikuwa wanaishi vizuri kama Tanzania kipindi cha Nyerere! Nyerere mpaka raslimali aliziacha kwa matumizi ya baadae. Sasa hizi wanashindana kuzipiga bei.
Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini huwezi kumlinganisha na haya majangili ya sasa.
 
Ajuza udini una kutesa sn
Huwa sikisii, Hujaupenda ukweli? katafite hii:

On June 2, 1978, the Tanzanian government under President Julius Nyerere ordered the British multinational corporation, Lonrho Limited, to leave the country.
 
Huwa sikisii, Hujaupenda ukweli? katafite hii:

On June 2, 1978, the Tanzanian government under President Julius Nyerere ordered the British multinational corporation, Lonrho Limited, to leave the country.
Lazima kulikuwa na sababu za msingi, nitaisoma naamini kwenye google siwezi kuikosa, Nyerere ni binadamu alikuwa na mapungufu yake ndiyo maana alikiri, lakini watu walisoma bure, kutibiwa bure na kusafiri bure bila madini wala gas, leo kuna kila kitu lakini huduma ni mbovu kupita kiasi
 
Back
Top Bottom