Hivi Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" gani kutoamuru Kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe ifutwe bila masharti yoyote?

Mpaka awe na HOFU ya MUNGU
 
Muhimili mmoja hauwezi kuingilia muhimili mwingine.

Au siku hizi mmeacha kuhubiri demokrasia?

Yaani unakurupuka na thread ya utetezi JF?mawakili wenu wameshawajulisha kuwa maji yamemfika shingoni sasa mnasaka public sympathy.
Kuna muhimili kiongozi, nao waweza kufanya lolote, popote na wakati wowote na haulazimiki kumsikiliza yeyote. Ndugu, yaonekana dhahiri kuwa haukumsikiliza vizuri Supika wenu ajae, Bi Betina.
 
kesi ngumu ile. Mawakili wa Jamhuri muda si mrefu watanyosha mikono. Naona wamechoka kutumika
 
Kesi iko mahakamani. Rais hawezi, na haruhusiwi kikatiba, kusema au kufanya lo lote kuhusiana na kesi iliyoko mahakamani. Akifanya hivyo atakuwa anaingilia mamlaka nyingine.Hata kama Rais angekosea na kusema kesi ifutwe, hakimu mhusika ana madaraka ya kuamuru kesi iendelee, tofauti na alivyosema Rais. Ni pale tu kesi inapomalizika na mtuhumiwa kupatikana na hatia na kuadhibiwa, hapo ndipo Katiba inampa Rais madaraka ya kupunguza au kufuta kabisa adhabu aliyopewa mhalifu. Lakini hata ikitokea hivyo, kumbukumbu zitabakia kwamba mtuhumiwa alipatikana na hatia na akapewa adhabu fulani, ili kama mhalifu atakuja kupatikana baadaye na hatia nyingine, hukumu itazingatia historia ya uhalifu wa mtu huyo. Kwa hiyo, kitakachokuwa kimefanyika ni kupunguza au kufuta kabisa adhabu na si kutamka kwamba Rais amemuona mtuhumiwa hana hatia.
 
kesi ngumu ile. Mawakili wa Jamhuri muda si mrefu watanyosha mikono. Naona wamechoka kutumika
Hilo ndilo linaloelekea kutokea hivi karibuni.🥺

Wewe mwenyewe si umeshuhudia Jaji akiwahimiza upande wa mashitaka kuwa ni lazima walete shahidi mwingine bila kukosa, alipowaona mashahidi wa upande wa Jamhuri wameanza kukacha kuja kutoa ushahidi?
 
Wameshachoka. Shahidi wa Jana Goodluck Minja aliona wanataka kumebesha zigo la vielelezo akawambia Weee! Hapana nilimkabidhi vyoye. Watu wakacheka🤣🤣
 
Wtz,ni kama hatujielewi,Rais ni mhimili mwingine na haupaswi kuingiliwa hiyo ndio maana ya utawala wa Sheria.Samia yupo sahihi.Alafu hiyo Katiba mpya tunayodai ni ya nn?
Mbona walivyotoka masheikh wa uamsho mlimshangilia Samia?
 
Acha upumbavu we fala,Rais aache shughuli zake za covid pesa aangaishane na washtakiwa.
We bwege nini
 
Watu mmevurugwa sana[emoji23][emoji1787]hamuoni mbele kabisa
 
Avunje sheria mara ngapi?

Kwani alipoongea uongo huko BBC kuwa Mbowe aliikimbia nchi na kwenda Nairobi kujificha, alikuwa havunji sheria za nchi?
Kuvunja sheria haipaswi kuwa desturi na Mila za viongozi zinazopigiwa mfano
 
Acha iende hadi tumwisho tuone wanavyodhalikika
 
Kwanini unataka Samia avunje sheria kwa kuingilia mihimili mingine?
Singasinga ni zaidi ya magaidi 1000 lakini maagizo yakatoka kwa sa 100 kesi ifutwe na katolewa anakula pesa za masikini wa tz bure bila ya buguza
 
Basi afute na kesi ya Sabaya,sababu karibu makosa yao yanafanana na la ugaidi ni kosa baya sana sawa na uhaini. Mama hakuna kufuta hadi kieleweke na Sabaya aje atoe ushaidi dhidi ya gaidi.
 
Muhimili mmoja hauwezi kuingilia muhimili mwingine.

Au siku hizi mmeacha kuhubiri demokrasia?

Yaani unakurupuka na thread ya utetezi JF?mawakili wenu wameshawajulisha kuwa maji yamemfika shingoni sasa mnasaka public sympathy.
Japo uliadimika Sana humu Kwa hasira za kurukwa kwenye teuzi, karibu Sana! Mbona unaongea kinyumenyume? Umewasikiliza mashahidi wa upande wa policcm ukiwa timamu? Huenda umemsikia jinsi wanavyojikanganya na kujikanyaga! Umeyasikia maswali ya wanasheria wa serikali a.k.a mawakili wa posho wanavyohoji Yale waliyolishana na mashahidi wenu wa kuchonga? Aibu tupu Kwa tasnia ya sheria kuwakilishwa na mawakili wa dizaini hiyo na ni aibu kubwa Kwa tasnia nzima ya sheria kuendelea kuwabamiza mawakili wa serikali kwenye nafasi wanazoshikilia! HivI CJ kaanza likizo ya kustaafu au? Kama hakemei na kumshauri dpp kukiondoa kesi hiyo inayowavua nguo za ndani basi mrejesheni alikotoka Kama wanadarasa hawwjamwachia viti na meza avifundishe!
Na Kwa kuwa wewe ni chawa pro max wa ccm waelimishe juu ya madhara makubwa wanayotengeza kwenye hiyo kesi! Naona mmeshtuka mnaanza kujipa uchifu wa Kila kabila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…