Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Bahati mbaya CDF ni msukuma pia, sijui unasemaje napo!Mama anawadekeza ndio mana wanapata nguvu ya kumpanda kichwani.ningekuwa mm ndie Mama yaan Rais,ningefukuza gang yote kuanzia Mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,wakurugenzi,MaRas hadi kwenye vyombo vya ulinzi.
Yaan nikiona harufu tu ya mahusiano ya sukuma gang napiga chini ili tuheshimiane..
Shida ya Mama anataka aonekane hajawasahau kuwa yuko pamoja nao na hilo wanalitumia kama fimbo ya kuchapia ili afanye wanavyotaka.
MAMA PIGA CHINI WOTE HAO WASIKUPANDE KICHWANI.
Inawezekana kawaletea wahusika kwa kutumia kesi ya Mbowe 🐱Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.
Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?
Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.
Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.
Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.
Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.
La vifaranga cha mtoto.
Kama CDF anamteua Rais kweli hapo kuna mziki ila kama Rais ndio anamteua Cdf mbona kazi ndogo tu kama kumsukuma mlevi.Bahati mbaya CDF ni msukuma pia, sijui unasemaje napo!
Usiyoyajua ni ngumu kuyaelezea, CDF hana ubaya na Amirijeshi mkuu.Kama CDF anamteua Rais kweli hapo kuna mziki ila kama Rais ndio anamteua Cdf mbona kazi ndogo tu kama kumsukuma mlevi.
Unaongeaga ujinga sana ww...Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.
Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?
Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.
Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.
Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.
Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.
La vifaranga cha mtoto.
Angeanzisha tu angejulikana ni nani aliyempiga risasi.. Kabula ya uchunguzi kwanza atafute what was the motive. Munasema HayatI Magufuli kampiga risasi what for? Mutu alishindwa uchaguzi, ampige risasi afaidike nini? Mtu alikuwa busy kuiweka sawa Tanzania. Amepokea nchi iliyokuwa imetafunwa na kuwachwa mifupa mitupu. Nchi isiyokuwa na nidhamu. Nchi iliyokuwa inanuka rushwa. Samia achunguze kwani yeye alikuwa wapi? Si alikuwa makamu wa Rais? Tundu Lissu asiangalie mbali, aangalie ndani ya chama chake, kuna ushindani wa madaraka, asishuku watu bure pengine aliyempiga risasi wanakula naye sahani moja. Samia ashukuru, kapokea nchi yenye misingi mizuri, yenye mapato makubwa kwa Hayati Kagufuli kuyapigania Madini yetu huku akizomewa na Tundu Lissu kuwa tutashitakiwa. Mutasema, mutamubeza, legacy yake hamutaifuta. Tulikuwepo wakati anaipokea nchi. Hali ilikuwa mbaya. Dhuluma Kwa wanyonge kila kona. Tanzania imepoteza kiongozi bora. HAMUWEZI KUWADANGANYA WATANZANIA TOFAUTI WANAONA.Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.
Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?
Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.
Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.
Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.
Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.
La vifaranga cha mtoto.
well saidHawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.
Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?
Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.
Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.
Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.
Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.
La vifaranga cha mtoto.
Kumbe unajua ni yeye!atizo ni kujipa majibu ya kwamba aliyemshambulia Lissu ni Magufuli tu na hakuna namna nyengine sasa nawaza hata ukifanyika huo uchunguzi na kuja na majibu ya tofauti utakubalika kweli?
Salary Slip said:Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukrani kamsitiri
Ushahidi ukaja kuwa aliyemshambulia ni mbowe ama alijishambulia mwenyew ili kuteka attention vip mtajisikiaje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni kujipa majibu ya kwamba aliyemshambulia Lissu ni Magufuli tu na hakuna namna nyengine sasa nawaza hata ukifanyika huo uchunguzi na kuja na majibu ya tofauti utakubalika kweli?
Ukiishia kutumia hisia tu basi utajua ni yeye tu basi.Kumbe unajua ni yeye!