Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

Ushahidi ukaja kuwa aliyemshambulia ni mbowe ama alijishambulia mwenyew ili kuteka attention vip mtajisikiaje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kigogo2014 alifanikiwa kuwajaza chuki na propaganda za kitoto sana[emoji23][emoji23]
Mtu hataki kufikiri pia kwamba kwani kikubwa mno hasa ni kipi hadi Magufuli alazimike kutaka kumuuwa Lissu tena kinoma noma kwa style ile?

Ila ndio hivyo ukihoji maswali kama haya unaonekana unatetea uovu ndio maana nasema hisia zimewekwa mbele.
 
..Watu wanaouawa kikatili kama walivyojaribu kufanya kwa Lissu ni watu ambao wamefanya matukio ya kinyama, na wana-resist kukamatwa wanapofikiwa na dola.

..Watu wanaofanya unyama hutumiwa operation yenye maagizo ya CAPTURE or KILL yaani KAMATA ikishindikana UA.

..Pia matukio ambayo mtuhumiwa amehusika huwa hayafanywi siri, ni lazima ijulikane mhusika anatafutwa kwa makosa gani.

..Mfano mzuri wa mtu aliyeuawa kikatili ni Osama Bin Laden. Yeye alikataa kujisalimisha, na alikuwa na silaha hivyo Wamarekani wakamuua.

..Kwa hapa Tanzania kuna tukio miaka ya 1980 la kumkamata Capt.Tamimu mtuhumiwa wa uhaini.

..CaptTamimu aliwashambulia maofisa usalama waliotumwa kumkamata, na akajaribu kutoroka. Matokeo yake akauwawa kwa risasi.

..Sasa hebu turudi kwa shambulizi la Magufuli dhidi ya Lissu. Je, kosa la Lissu lilikuwa nini? Je, Lissu alikuwa na silaha? Je, alikataa kujisalimisha? Je, aliwashambulia waliotumwa kwake?

..Niko tayari kuelimishwa kuhusu uhalali wa Magufuli kujaribu kumuua kinyama Tundu Lissu.

Cc Erythrocyte , Nguruvi3, Proved
 
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.

Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?

Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.

Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.

Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.

Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.

La vifaranga cha mtoto.
Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini. [emoji15][emoji848][emoji2827]
 
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.

Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?

Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.

Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.

Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.

Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.

La vifaranga cha mtoto.
Samia ni muungwana sana.
 
Kuwatia adabu na kuwadhibiti fisadi ndio unaona ni uovu?
Kwanza uchunguzi haujazuiwa ila lissu mwenyewe kwa kujua nani anahusika ndio anakimbia hatoi ushirikiano na upelelezi. Nikuulize kwa nini dereva naye ametimka. Kwani yeye alipigwa risasi?
Hakika uchunguzi ukikamilika msije ona ajabu vigogo viongozi cdm ndio wanaburuzwa mahakamani. Kama kusitiriwa vigogo wa chadema ndio wanasitiriwa na serikali ya ccm.
 
..Watu wanaouawa kikatili kama walivyojaribu kufanya kwa Lissu ni watu ambao wamefanya matukio ya kinyama, na wana-resist kukamatwa wanapofikiwa na dola.

..Watu wanaofanya unyama hutumiwa operation yenye maagizo ya CAPTURE or KILL yaani KAMATA ikishindikana UA.

..Pia matukio ambayo mtuhumiwa amehusika huwa hayafanywi siri, ni lazima ijulikane mhusika anatafutwa kwa makosa gani.

..Mfano mzuri wa mtu aliyeuawa kikatili ni Osama Bin Laden. Yeye alikataa kujisalimisha, na alikuwa na silaha hivyo Wamarekani wakamuua.

..Kwa hapa Tanzania kuna tukio miaka ya 1980 la kumkamata Capt.Tamimu mtuhumiwa wa uhaini.

..CaptTamimu aliwashambulia maofisa usalama waliotumwa kumkamata, na akajaribu kutoroka. Matokeo yake akauwawa kwa risasi.

..Sasa hebu turudi kwa shambulizi la Magufuli dhidi ya Lissu. Je, kosa la Lissu lilikuwa nini? Je, Lissu alikuwa na silaha? Je, alikataa kujisalimisha? Je, aliwashambulia waliotumwa kwake?

..Niko tayari kuelimishwa kuhusu uhalali wa Magufuli kujaribu kumuua kinyama Tundu Lissu.
Kabla ya kupigwa risasi TL alifikishwa mahkamani mara nyingi sana na kila wakati aliwashinda
Kilichomkera JPM ni kushindwa mahakamani lakini pia jinsi TL alivyokuwa anaanika uovu na uozo

TL hakuwa na silaha, alikuwa Bungeni, anajulikana anaishi wapi n.k. wangeweza kumkamata kwa pingu tu!
Mwendazake hakuwa na uvumilivu achilia mbali utu, saa 5 katoa amri masaa 2 the rest is history
 
..Watu wanaouawa kikatili kama walivyojaribu kufanya kwa Lissu ni watu ambao wamefanya matukio ya kinyama, na wana-resist kukamatwa wanapofikiwa na dola.

..Watu wanaofanya unyama hutumiwa operation yenye maagizo ya CAPTURE or KILL yaani KAMATA ikishindikana UA.

..Pia matukio ambayo mtuhumiwa amehusika huwa hayafanywi siri, ni lazima ijulikane mhusika anatafutwa kwa makosa gani.

..Mfano mzuri wa mtu aliyeuawa kikatili ni Osama Bin Laden. Yeye alikataa kujisalimisha, na alikuwa na silaha hivyo Wamarekani wakamuua.

..Kwa hapa Tanzania kuna tukio miaka ya 1980 la kumkamata Capt.Tamimu mtuhumiwa wa uhaini.

..CaptTamimu aliwashambulia maofisa usalama waliotumwa kumkamata, na akajaribu kutoroka. Matokeo yake akauwawa kwa risasi.

..Sasa hebu turudi kwa shambulizi la Magufuli dhidi ya Lissu. Je, kosa la Lissu lilikuwa nini? Je, Lissu alikuwa na silaha? Je, alikataa kujisalimisha? Je, aliwashambulia waliotumwa kwake?

..Niko tayari kuelimishwa kuhusu uhalali wa Magufuli kujaribu kumuua kinyama Tundu Lissu.

Cc Erythrocyte , Nguruvi3, Proved
Kwa upande wangu mimi katika hii dhana ya Magufuli kutaka kumuuwa Lissu nataka kujua kwamba kulikuwa na ulazima gani wa Magufuli atake kumuuwa Lissu kinoma noma vile? Kama Magufuli huyo huyo anadhaniwa kuhusika na zile maiti za kwenye viroba pamoja na kutekwa watu sasa iweje kwa Lissu ndio atake kumuuwa kinoma noma vile wakati angeweza kumuuwa kimya kimya?
 
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.

Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?

Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.

Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.

Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.

Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.

La vifaranga cha mtoto.
Sio swala la kumshukuru Kwa kumsitiri mwenda. Ni muhimu alinusuri Jeshi hili la polisi lililopumbaa na SIRO.
Sivyo sifa inabakia palapale sirikali inalijua fika wananyamaa tu!!
 
Kwa upande wangu mimi katika hii dhana ya Magufuli kutaka kumuuwa Lissu nataka kujua kwamba kulikuwa na ulazima gani wa Magufuli atake kumuuwa Lissu kinoma noma vile? Kama Magufuli huyo huyo anadhaniwa kuhusika na zile maiti za kwenye viroba pamoja na kutekwa watu sasa iweje kwa Lissu ndio atake kumuuwa kinoma noma vile wakati angeweza kumuuwa kimya kimya?

Unaposema kumuua kinoma noma una maana gani?

Dhana kwamba Magufuli anahusika, au aliwaunga mkono waliomshambulia Tundu Lissu, kwa upande wangu inatokana na mambo yafuatayo.

1. Kulikuwepo na jitihada za wana propaganda wa Ccm na serikali kumtengeneza Lissu kama msaliti / adui wa taifa. Hayo yalikuwa maandalizi ya kumuua.

2. Kuondolewa kwa walinzi wa serikali eneo la tukio. Jambo hilo haliwezi kufanywa na mtu asiye na mamlaka, na asiyekuwa na uhakika wa full support ya mamlaka zote ktk maamuzi hayo.

3. Mara baada ya tukio Magufuli hakujishughulisha kabisa kutoa msaada kwa Tundu Lissu.

Kwa kawaida Magufuli alikuwa mtu wa kukimbilia wenye shida, haswa kama ni watu maarufu. Linganisha yeye binafsi alivyomkimbilia Dr.Kigwangala alipopata ajali, au Askofu Ruwaichi, Mzee Majuto, wakati walipokuwa wagonjwa.

4. Kutokuchukua hatua za kufanya uchunguzi wa wazi unaoaminika. Ili kuondoa dhana kwamba serikali ilihusika Magufuli alitakiwa aitishe uchunguzi wa haraka, wa wazi, na shirikishi.

Baada ya tukio serikali na jeshi la Polisi walionekana kupiga danadana kuhusu uchunguzi, na wakati mwingine kutoa kauli za kejeli hata wakati Lissu akiwa kitandani mgonjwa.

5. Serikali kukataa kumhudumia Lissu kama wanavyohudumiwa wabunge wengine wanapokuwa wagonjwa.

Malumbano ya Lissu kutibiwa Nairobi vs Muhimbili, au Ubelgiji vs India hayakupasa kuwepo.

Hata kama serikali ilikataa kugharamia matibabu basi walau ingekubali kugharamia matunzo yake. Wabunge wanapotibiwa nje kwa mfano India hupewa posho yao, na ya mhudumu waliyeongozana naye.
 
Naposema kinoma noma namaanisha kufanya mashambulizi ya aina ile mchana kweupe, kama lengo ni kumuuwa tu ni kwamba ilishindikana kufanya kama kwa Bensa8 au tukaona tu maiti kwenye kiroba?

Maana kile kipindi hakikuwa sahihi kufanya mashambulizi hasa ya aina kama ile kwa Lissu.
 
..swali lako ni fikirishi.

..wako wanaodai kwamba Lissu alishambuliwa namna ile ili kutuma ujumbe kwamba asitokee kidomo-domo yeyote anayepinga utawala wa Magufuli.

..Eneo lolote linaweza kuwa sahihi as long as linaandaliwa kufanikisha malengo yaliyokusudiwa.

..Kufanya shambulizi mchana kweupe maana yake wahusika wanajiamini hakutakuwa na consequences.

..Vilevile inawezekana walishajaribu kumnasa Lissu kama hao wengine ikashindikana, wakaona bora watumie njia waliyotumia.

..Mwisho, kinachowashinda kufanya uchunguzi na kutoa majibu ni nini?
 
Ukisema kwamba walifanya vile ili kutuma meseji na kwamba walikuwa wanajiamini sasa mbona tena tukawa tunasikia vifo vya kimya kimya kwamba tunaona tu maiti kwenye viroba japo hatuwajui hao marehemu walikuwa ni akina nani na walihusika vp na utawala wa Jiwe hadi nao kutakiwa kuuliwa ila vifo vyao vilihusishwa na Jiwe, sasa tukio la Lissu lilipeleka ujumbe kwa nani?
Siwezi kuamini kwamba et walishindwa kumteka au walikosa njia yeyote ya kumuuwa tofauti na ile.
 
..kuna orodha ilitoka ya wananchi wa Mkiru ambao inasemekana walikamatwa na haijulikana walipo mpaka leo.

..pia kuna mama mmoja alihojiwa kwenye Tv ni wa maeneo ya Mkiru mumewe aliuwawa na yeye alijeruhiwa na watu waliofika nyumbani kwake wakitumia gari aina ya NOAH.

..sasa utakumbuka wengi wa watu waliopata misukosuko kipindi kile walikuwa wakitaja kuwa waliowashughulikia walikuwa na gari ya NOAH.

..tukio la Lissu lililenga kumnyamazisha na kutuma ujumbe kwa wanaharakati na wakosoaji wengine wa Magufuli.

..Kwamba walitumia marisasi mengi huenda ni kwasababu alikuwa ndani ya gari. Walenga shabaha walikuwa hawajui kama risasi zinampata au la.

..Hakuna anayejua kama Lissu angeteremka toka ktk gari walenga shabaha wangemtwanga risasi ngapi.

..Lingine ni kwamba Lissu hakukamatwa. Huenda angekamatwa na akafia mikononi mwao naye angetiwa kwenye kiroba, au angetupwa porini aliwe na fisi.

..Mwisho, Magufuli ananaswa na mambo yafuatayo. Mosi, walinzi wa serikali kuondolewa. Pili, serikali kutomsaidia Lissu. Tatu, serikali kutokufanya uchunguzi.
 
Kwahiyo tunaweza kusema kuwa huyo mumewe na huyo mama alionekana kwenye tv alikuwa ni katika wakosoaji na wanaharakati kwenye utawala wa Magufuli na ndio maana nae kauliwa kama alivyotakiwa kuuliwa Lissu?

Mimi nimesema siamini kwamba Lissu aliweza kukwepa kutekwa na hao watu ambao walikuwa wakimfuatilia hadi walazimike kumshambulia vile kinoma noma.
 
..Nilichokuwa najaribu kuonyesha ni kwamba watu wasiojulikana hawakuwa na namna moja ya kuua watu.

..kwamba ukiwa mwanaharakati basi utauwawa kama Lissu, na ukiwa mtu wa Mkiru utawekwa kwenye kiroba.

..Labda nikuulize na wewe hao jamaa waliokuwa kwenye NOAH kwanini wamuue jamaa mbele ya mke na kitoto kichanga? Kwanini hawakumuua " kistaarabu " kwa kumhifadhi kwenye kiroba cha thamani?
 
Back
Top Bottom