Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Salaam!

Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....

Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.

Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana 😅😅😅 basi member huyu alisomea kureact kwani 😅

Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.

With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅 🤑🤑🤑🤑
raraa reree huna baya kiongozi
 
Mi huwa nampenda sana mtu asiyechukia mtu, mpenda watu........raraa reree ni mmojawapo! Sioni ni nini haswa kinakukera mtoa mada!!
Mbona upogo negative, huko shureni urisomea ujinga.....mimi nimesema pale juu hili siyo kwa ubaya.
 
Kuna ID zipo kwa ajili ya kazi maalumu wanabadilishana tu kwa shift

Kuna jobless

Kuna wenye biashara mitandaoni za halali

Kuna watafuta wenzao wapatane
 
Salaam!

Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....

Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.

Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana 😅😅😅 basi member huyu alisomea kureact kwani 😅

Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.

With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅 🤑🤑🤑🤑
Wengine wapo kazini,denooj
 
Huu ni moto wa gesi, nawajua kina Extrovert , JoseExverest , Leejay49 , GENTAMYCINE , mkwepu jr na mshamba_hachekwi lakini huyu wa kuitwa raraa reree ni next level.

Ukiweka uzi ama comment yako usiku sana ukaona hakuna LIKES basi usihofu.. subiri raraa reree akiamka ata-like.

Na moto wake wa ku comment sio wa kitoto, kwa leo tu pana comments kama 40 hivi, likes ndio usiseme, ni fayaaa!!!

chukua maua yako
emoji259.png
emoji259.png
emoji259.png
Extrovert 🌺🌺🌺🌺
 
Back
Top Bottom