Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Salaam!

Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....

Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.

Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana 😅😅😅 basi member huyu alisomea kureact kwani 😅

Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.

With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅 🤑🤑🤑🤑
Na kuna wengine tunanyandua show bao 3 daily
 
Back
Top Bottom