Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Salaam!

Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....

Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.

Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… basi member huyu alisomea kureact kwani ๐Ÿ˜…

Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.

With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ… ๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘

Kama mimi kazi zangu zote ni online, na naweza kaa online up to 14 hours a day, acha kuamka kwa alarm, jamii forum ni kama break yangu nikiwa natafakari.
 
Salaam!

Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....

Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.

Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… basi member huyu alisomea kureact kwani ๐Ÿ˜…

Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.

With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ… ๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘
Subiri anakuja ku react
 
Wewe ni noma kaka hivi hujawahi chelewa kazini kisa jamii forum, tupe uzoefu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Niligraduate chuo, nikaa nikapata CPA nikafanya kazi 8 months, sijawahi rudi kwenye ajira mpaka leo nina 55 years.

Ila kuna wakati naweza spend mda mwingi sana kwenye kazi kama ni eneo ugumu, wakati mwingine nachat huku napiga kazi.
 
Salaam!

Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....

Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.

Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… basi member huyu alisomea kureact kwani ๐Ÿ˜…

Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.

With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ… ๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿค‘
Jf mongers Tupo wengi๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“
 
Sio kila mtu lazima afanye kazi ๐Ÿ˜„
Sio kwa ubaya lakn ni maoni tu ๐Ÿป
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hatimaye yametia nilitaka ukomenti.

Kwa hiyo tajiri unatumbua midolari yako kidogo kidogo mpaka ukufe. a.k.a ginimbi a.k.a hushpupi a.k.a mompha a.k.a don majina ni yote papaa ndama mutoto ya pesa.
 
Back
Top Bottom