Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜… hatimaye yametia nilitaka ukomenti.

Kwa hiyo tajiri unatumbua midolari yako kidogo kidogo mpaka ukufe. a.k.a ginimbi a.k.a hushpupi a.k.a mompha a.k.a don majina ni yote papaa ndama mutoto ya pesa.
Mtu asipofanya kazi tayari anakuwa tajiri sio πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£
 
Salaam!

Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....

Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.

Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… basi member huyu alisomea kureact kwani πŸ˜…

Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.

With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his respondingπŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ…πŸ…πŸ… πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘
Huyo Ni robot wa jf wanamtumia
 
Huo msemo "huko shuleni mlisomea ujinga"..mmeshampora alieanzisha huo usemi?mmewapa kina ngosha?πŸ˜…
 
Back
Top Bottom