Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Jirani 😂😂😂Huyo hatongozi yeye anatoa likes tu….. mtambo mtu fudenge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani 😂😂😂Huyo hatongozi yeye anatoa likes tu….. mtambo mtu fudenge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weye uje tu[emoji12] mbona iki kiswahili kinantisha yakhee
Jirani [emoji23][emoji23][emoji23]
Weye uje tu
Curiosity killed a RatKwamba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akili kum-bichwa😁!Anapata wapi huu muda?
Atakua mrithi wa JoseverestLeejay49 Hana ubaya na mtu
Ndio nini kasharunga bruh 😄Raraa Mzee wa Kasharunga.
Kesho ntakuwa kwa Magomba hapo.
Mi ni konda wa daladalaAkili kum-bichwa😁!
Labda kazini kwake hamna Sheria ngumu, yawezekana pia yupo kitengo cha kucheza na mouse
hata me naona, sory, hivi "mr bann" umeshakua banned kweli hata mara 1?...uh! Kwamaana...Usikute huyo rararara sijui nn ni wemwenyewe mana akil za wana jf mnazijua wenyewe
kwamaana nini tena mkuu? Ila bann nimepigwa sana kipindi cha magu ndio kisa kubadili jina na kujipa id hyhata me naona, sory, hivi "mr bann" umeshakua banned kweli hata mara 1?...uh! Kwamaana...
twamkubali sana
Leejay49 Hana ubaya na mtu