Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Gentamycine tatizo anatumia nguvu kubwa kutafuta umaarufuAma kweli bahati ya mwenzako Usi ilalie mlango wazi. GENTAMYCINE kwa siku anaondika nyuzi 20 hapa jf ila watu hawamkubali wala nini lakini raraa reree anakubalika kwa kutoa like tu. raraa reree is genius . Apewe maua yake
raraa reree huna baya kiongoziSalaam!
Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....
Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.
Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana 😅😅😅 basi member huyu alisomea kureact kwani 😅
Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.
With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅 🤑🤑🤑🤑
Anaonekana alikuwa mstaafu karukwa akili!! Siku hizi hayupo atakuwa karehemika labda😳😳😄Kuna yule wa dislike akichoka anaacha mwenyewe
Mbona upogo negative, huko shureni urisomea ujinga.....mimi nimesema pale juu hili siyo kwa ubaya.Mi huwa nampenda sana mtu asiyechukia mtu, mpenda watu........raraa reree ni mmojawapo! Sioni ni nini haswa kinakukera mtoa mada!!
😂🤣😆🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Huyo Ni robot wa jf wanamtumia
Yeah, nilisomea ujinga ndiyo. Shule yangu inaitwa Mnazimmoja, ipo pale GeitaMbona upogo negative, huko shureni urisomea ujinga.....mimi nimesema pale juu hili siyo kwa ubaya.
😅😅😅😅 sawaYeah, nilisomea ujinga ndiyo. Shule yangu inaitwa Mnazimmoja, ipo pale Geita
Wengine wapo kazini,denoojSalaam!
Nauliza japo sio kwa ubaya wanajukwaa na mods msinielewe vibaya kwa hilo swali.....
Ni mimi nina notice reactions za member raraa reree kwenye almost 80% ya post zangu au kuna na wengine, he/she is so active.
Kuna haka kamsemo kakina ngosha eti (in voice of ngosha) "shureni kwani urisomea ujinga" kananivutia sana 😅😅😅 basi member huyu alisomea kureact kwani 😅
Nisiwachoshe sana wasomaji najiuliza how much time ana spent Jamii forum na anawezaje aisee to view kila thread.
With reference to this, moderators shall have to pay for his presence, I think he/she deserves an accolaide for greatness of his responding🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅 🤑🤑🤑🤑
Amini kwamba.Wengine wapo kazini,denooj
Mtu Ambaye Yupo JF Long Ulichosema Ni Sahihi Wapo Wengi Sana Walikuwa Kila Post Ya JF Lazima Awe Wa Kwanza Kuweka Comment, Kutoa Likewapo/walikuwepo wengine wengi ni masuala ya mpito.
Anaye Kesha mwingine anayeumia mwingine nchi hii ngumuKuna baadhi ya ID ni taasisi
Vipi unapata muda wa kulala? Jamaa anadai unashiriki kila uzi masaa 24!!Sio kila mtu lazima afanye kazi [emoji1]
Sio kwa ubaya lakn ni maoni tu [emoji482]
Wananionea- Edward LowassaVipi unapata muda wa kulala? Jamaa anadai unashiriki kila uzi masaa 24!!
Extrovert 🌺🌺🌺🌺Huu ni moto wa gesi, nawajua kina Extrovert , JoseExverest , Leejay49 , GENTAMYCINE , mkwepu jr na mshamba_hachekwi lakini huyu wa kuitwa raraa reree ni next level.
Ukiweka uzi ama comment yako usiku sana ukaona hakuna LIKES basi usihofu.. subiri raraa reree akiamka ata-like.
Na moto wake wa ku comment sio wa kitoto, kwa leo tu pana comments kama 40 hivi, likes ndio usiseme, ni fayaaa!!!
chukua maua yako
Kuna Mpwayungu VillageHuu ni moto wa gesi, nawajua kina Extrovert , Joseverest , Leejay49 , GENTAMYCINE , mkwepu jr na mshamba_hachekwi lakini huyu wa kuitwa raraa reree ni next level.
Ukiweka uzi ama comment yako usiku sana ukaona hakuna LIKES basi usihofu.. subiri raraa reree akiamka ata-like.
Na moto wake wa ku comment sio wa kitoto, kwa leo tu pana comments kama 40 hivi, likes ndio usiseme, ni fayaaa!!!
chukua maua yako
Sijawahi kutana na post ambayo haina like yako mkuu pamoja na raraa reree chukueni maua yenu [emoji259][emoji259]