Mimi namuomba mh.@raraa reree akomenti apaa wadauWakuu,
Ni muda sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree, kuna faraja Fulani kupata like kwamba umeandika kitu chenye maana lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho sijawahi ona comment yake huyu bwana
Raree liked πππWakuu,

Ni mtu na mke wake
Sio kweli, roraa ree Hana mwanya, Sema jamaa ni handsome tall and darkUyu jamaa ni ndugu yangu kabisa, tumetoka wote kijiji kimoja, ni mrefu mweusi na anamwanya mkubwa
πππNi mtu na mke wake
Kulike kila comment ndiyomaana ya raraa reree yaani ni mshereheshaji.Wakuu,
Ni muda sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree, kuna faraja Fulani kupata like kwamba umeandika kitu chenye maana lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho sijawahi ona comment yake huyu bwana
Nyamwi255 ππSio kweli, roraa ree Hana mwanya, Sema jamaa ni handsome tall and dark
Woii itakua alikutumia picha ya yule mtoto wa bamdogo wake anaesoma utaliiSio kweli, roraa ree Hana mwanya, Sema jamaa ni handsome tall and dark
Kwa hizi sifaβ¦Sio kweli, roraa ree Hana mwanya, Sema jamaa ni handsome tall and dark
Sio kweli, roraa ree Hana mwanya, Sema jamaa ni handsome tall and dark
Anakuja Hana bayaLike na hii π€£π€£π€£