Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Wakuu,

Ni muda sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree, kuna faraja Fulani kupata like kwamba umeandika kitu chenye maana lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote hili ni gumu kwa kawaida

Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani

Mwisho sijawahi ona comment yake huyu bwana
Mimi namuomba mh.@raraa reree akomenti apaa wadau
 
Raree liked 😂😂😂
 
Kulike kila comment ndiyomaana ya raraa reree yaani ni mshereheshaji.
 
Back
Top Bottom