Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Hapana ushawahi tuma uzi sa nane na nusu usiku wewe ππππHuyu jamaa sio binadamu ni somesort of machine inayolike kila kitu humu jf iwe usiku asubuhibau machana kiufupi raraa reree ni roboti kama yunus.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.Huyu jamaa sio binadamu ni somesort of machine inayolike kila kitu humu jf iwe usiku asubuhibau machana kiufupi raraa reree ni roboti kama yunus.
Maghayo acha kudandia uziKipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
π€£π€£
Hadi uzi wa usiku wa mananeπHuyu jamaa sio binadamu ni somesort of machine inayolike kila kitu humu jf iwe usiku asubuhibau machana kiufupi raraa reree ni roboti kama yunus.
Naweza kupata ushahidi wa wapi hao Suni wamemdhihaki imamu hussein ?Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
π π πVp yule aliyekuwa anamwaga dislike tu mpaka mkamfungulia uzi
Kisa lake ni nini ikiwa mods ndio walioweka kitufe cha dislikeπ π π
Kapigwa life BAN πΆ yule