Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana.

Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree

Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
anakera. I will BLOCK her and most probably ni mwanamke ...mwanamume huwezi kufaya hivi . Alternatively, my thinking, AU kuna kitu anatafiti kujua identity za watu by their phone number, labda anatest IT invention yake ku circumvent technology ya kuficha namba za watu iliyotumiwa na JF! Maxence Melo take note of this!
 
Back
Top Bottom